Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Mimi nitatoa 2.9 ila huyo wa kwenye gari anipe chachandu kidogo.
Tango linafaidi
Tango linafaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dahhhh....[emoji39][emoji39]
Na kwenye wallet nimeona tango..[emoji849][emoji849]
Kukosa hela ni jambo baya sana wallah...[emoji17][emoji17]View attachment 1612457
Ninavyo wajua vijana wa humu, lazima wakaitumie kwa maji na kipande cha sabuni huko bafuni....🤓🤓ilo paja lime nistua sio siri
2M tumalize biashara kaka.ongeza laki 5 mkuu
jamaa kanisaidia kuzoom apo. sema nilisha acha chaputaNinavyo wajua vijana wa humu, lazima wakaitumie kwa maji na kipande cha sabuni huko bafuni....🤓🤓
nimeuriza tyuMkuu kwahiyo wewe umeamua kubadilisha biashara unataka paja badala ya gari
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Pokea simu tuongee biasharaToyota passo inauzwa kwa bei poa
Engine cc 990
Year made 2004
Rangi: Grey
iko full AC yani hamna tabu
Bei: milioni 2 na laki 6 tu.
Gari iko kimara
nicheki 0683011003 tumalize biashara
karibu sana kaka niko hewani muda wotePokea simu tuongee biashara
hailipi boss2M tumalize biashara kaka.
DarIko mkoa gani gari
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyo jamaa anaeizu sababu ni huyo dada na tango lake nini mkuu?
wakuu 2mil haitowezekana.
ongezen 5 tufanye biashara
hahahaa wabongo bwanaMimi nitatoa 2.9 ila huyo wa kwenye gari anipe chachandu kidogo.
Tango linafaidi
Vipi kuna chuma nyingine..mana kuna m2 na kitu zipo hazina kazi nataka nimnunulie demu wangu.nashukuruni sana kwa kuonesha nia ya kununua hii gari.
kesho Inshaallah tunafunga Biashara
ntawaletea chuma nyingine kwa bei poa tu nadhani next week