Toyota Passo kwa 2.6 million only

Toyota Passo kwa 2.6 million only

Oya hilotango la nini kwenye mkoba wa huyo Manzi..?
 
Hapa haliuzwi gari pekee..wajanja tushajiongeza biashara ziko mbili hapa.
 
Mpaka hapa mtu anataka apunguziwe ? Daaah [emoji24][emoji24][emoji81][emoji81][emoji1487][emoji1487]
 
nashukuruni sana kwa kuonesha nia ya kununua hii gari.

kesho Inshaallah tunafunga Biashara

ntawaletea chuma nyingine kwa bei poa tu nadhani next week
 
nashukuruni sana kwa kuonesha nia ya kununua hii gari.

kesho Inshaallah tunafunga Biashara

ntawaletea chuma nyingine kwa bei poa tu nadhani next week
Vipi kuna chuma nyingine..mana kuna m2 na kitu zipo hazina kazi nataka nimnunulie demu wangu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom