Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshaijua hio G-SpotWe Dalali mpya, jua jinsi ya kunadi vitu ulivyopewa na mabosi wako.
Mkubwa nakubaliTunauza gari mzee na na sio chakula cha vifaranga!! Karibu siku nyingine ukiona tangazo la kuuza chakula cha vifaranga!
Naona umeanza ku-hallucinate! Uzuri nishafahamu uwezo wako wa kufikiri unaanzia wapi na kuishia wapi!We Dalali mpya, jua jinsi ya kunadi vitu ulivyopewa na mabosi wako.
Hapana Mkuu, umenisaidia sana kufahamu nilikuwa napoteza muda na mtu wa aina gani!!Mtoa mada sorry kwa kuweka thread zisizohusika,kuna punga anazingua humu.
All the best kwny hii biz.
Duh! Kwahiyo kuona nauza gari tu ndo basi tena unataka kunitunuku g-spot kabisa!! Una hatari wewe!!Ma ma e dogo uliyeanzisha huu uzi tafuta muuza maziwa bili juu yangu mana sio kwa hizi shombo. Ushajua g spot ??? Ushatahiriwa. ????
Dalai mpya hujui hata jinsi ya kunadi vituNaona umeanza ku-hallucinate! Uzuri nishafahamu uwezo wako wa kufikiri unaanzia wapi na kuishia wapi!
Harrier labda old, ila new Morden hupati kwa hiyo pesaMkuu hiyo bei unapewa na ofa ya mafuta miaka mitano ama? Kwa bei hiyo naagiza
Harrier sec gen na chenji inabaki
Subaru xt 2008 na chenji juu
Tena chenji ya kujaza mafuta kwa miaka zaid ya miwili na kwa long trip
Kaendelee na zile mada zako zako za ki-MMU, ifike wakati ukubali mada zingine zipo juu ya uwezo wako!Dalai mpya hujui hata jinsi ya kunadi vitu
Ukiangalia beforward bei zipo juu sana za harrier labda iwe ya 2004 ndiyo upate chini ya 25M napo bado haishuki 22mMkuu hiyo bei unapewa na ofa ya mafuta miaka mitano ama? Kwa bei hiyo naagiza
Harrier sec gen na chenji inabaki
Subaru xt 2008 na chenji juu
Tena chenji ya kujaza mafuta kwa miaka zaid ya miwili na kwa long trip
Hapana Mkuu, but thanks!Unaweaza pokea pesa kwa instalment
Mada ya idalali tena wa gari iliyoharibika na kupakwa rangi. Hiyo gari mwenyewe anataka 5m wewe unapeleka paka 28m huo ni wizi.Kaendelee na zile mada zako zako za ki-MMU, ifike wakati ukubali mada zingine zipo juu ya uwezo wako!
Bora ya hao wanaolinganisha kwa sababu kama ni prospective buyer, unajua kabisa yupo serious, hata asipochukua mzigo wako, atachukua ule unaoendana na maslahi yake. Lakini hawa wapiga kelele ambao hawajawahi kumiliki hata Bajaj, wala hawanisumbui kwa sababu hawawezi kumfanya serious buyer aache kununua au angalau kutamani kununua!ndio shida ya kuweka bei, maana hapo uwe makini. ila watu sasa hivi wanalonganisha masoko ya magari miandaoni.
Unanitia huruma kifaranga!Mada ya idalali tena wa gari iliyoharibika na kupakwa rangi. Hiyo gari mwenyewe anataka 5m wewe unapeleka paka 28m huo ni wizi.