Car4Sale Toyota Prado bei sawa na bure

Car4Sale Toyota Prado bei sawa na bure

Ma ma e dogo uliyeanzisha huu uzi tafuta muuza maziwa bili juu yangu mana sio kwa hizi shombo. Ushajua g spot ??? Ushatahiriwa. ????
 
ndio shida ya kuweka bei, maana hapo uwe makini. ila watu sasa hivi wanalonganisha masoko ya magari miandaoni.
 
Ma ma e dogo uliyeanzisha huu uzi tafuta muuza maziwa bili juu yangu mana sio kwa hizi shombo. Ushajua g spot ??? Ushatahiriwa. ????
Duh! Kwahiyo kuona nauza gari tu ndo basi tena unataka kunitunuku g-spot kabisa!! Una hatari wewe!!
 
Mkuu hiyo bei unapewa na ofa ya mafuta miaka mitano ama? Kwa bei hiyo naagiza
Harrier sec gen na chenji inabaki
Subaru xt 2008 na chenji juu
Tena chenji ya kujaza mafuta kwa miaka zaid ya miwili na kwa long trip
Harrier labda old, ila new Morden hupati kwa hiyo pesa
 
Mkuu hiyo bei unapewa na ofa ya mafuta miaka mitano ama? Kwa bei hiyo naagiza
Harrier sec gen na chenji inabaki
Subaru xt 2008 na chenji juu
Tena chenji ya kujaza mafuta kwa miaka zaid ya miwili na kwa long trip
Ukiangalia beforward bei zipo juu sana za harrier labda iwe ya 2004 ndiyo upate chini ya 25M napo bado haishuki 22m
 
ndio shida ya kuweka bei, maana hapo uwe makini. ila watu sasa hivi wanalonganisha masoko ya magari miandaoni.
Bora ya hao wanaolinganisha kwa sababu kama ni prospective buyer, unajua kabisa yupo serious, hata asipochukua mzigo wako, atachukua ule unaoendana na maslahi yake. Lakini hawa wapiga kelele ambao hawajawahi kumiliki hata Bajaj, wala hawanisumbui kwa sababu hawawezi kumfanya serious buyer aache kununua au angalau kutamani kununua!
 
Back
Top Bottom