Toyota Premio inakimbia kuliko X- Trail new Model

Unakimbia kwa ajili gani?Mambo ya ligi za barabarani?Utasikia sijui "leo nimetumia Subaru yangu kuikimbiza prado hadi imesalim amri!"Huu kama siyo utoto ni nini?
Nani alikwambia anafanya ligi? Mambo niliyoyafanya nikiwa na miaka 20 huko.

Wewe na uzee wako safety feature ipi unaipata kwa Premio au Crown?

Kwamba unataka kununua gari ya milioni 15 uumize kichwa kuhusu safety feature.

Nunua gari ya 150M na kuendelea utazipata hizo features bila kuuliza kwa mtu.

Ila hizo IST zenu hakuna kitu.
 
zote zinakimbia , inategemea dreva anazitumiaje. ingawaje premio iko more stable kuliko trail
 
Uko sahihi mkuu kama Mimi sahivi naipenda vitz rs hata unipe Subaru siwezi chukua
 
Hizi Ruminion naziona nyingi kweli cku hizi ubora wake katika nyanja mbalimbali ukoje?
 
Mimi ni punguani namba moja. Gari isio na mwendo wa kueleweka siitaki.
 
Ni sawa unachosema, ila ni sawa tu na misambwanda, kuna mwingine haangalii sura, rangi kimo au lah! Anachoangalia ni "msambwanda" ni wa haja? Akikuta ni wa haja vingine kawaida.

Inabidi tu, ibaki kuheshimu choice za wengine.

Au wajumbe mnasemaje?
 
Choice za wengine zinazoumiza maisha ya wengine zinapaswa kulaaniwa na kukemewa!Utasikia sijui "Leo nimetumia Subaru yangu kuikimbiza Prado hadi imesalim amri!",hii ni choice inayoumiza wengine kwa sababu kuanzisha ligi barabarani inaweza kusababishia wengine ajali ikapelekea vifo au vilema kwa watu ambao hawana hatia!
 
X trail si gari la mbio kabisa

Nashangaa mpaka mtoa mada umeleta mada humu nini cha ajabu

Kwani umeshawahi kuona motorsport yoyote majamaa wana hit the apex na ma suv???
 
Unajua mnapozungumzia Toyota Premio hizi za kati mnaongelea engine aina aina 4 tofauti kuna ambayo ina engine kama ya vitz au IST 1NZ ina cc 1490, kuna 1ZZ engine kama ya Opa au Spacio, 2ZR ambayp pia ni cc 1790 kama 1ZZ, halafu kuna 1AZ ina cc 1990 kama ya RAV4 au VOXY.

Sasa Model ambayo ina nguvu na kukimbia sana kama karatasi ni 1AZ mkuu, sio kila model hiyo itakua inakimbia mzee baba
 

Rumion ipo vizuri sana..nimefkuzana na premio haziwezi mziki wa rumion
 

Kitu kimoja unachokosea ni kua engine ya 1Nz ya gari ya mwaka 2001 haiwezi kua na performance sawa na engine ya 1Nz ya gari ya mwaka 2008..unaweka wapi suala la technology pembeni?

Sbr nikutofautishie kati ya engine ya 1Nz ya premio ya IST na Engine ya Rumion..

Specs za ndani ya engine ni tofauti..rumion Gearbox yake ina mfumo wa CVT ambao ni tofauti na ist..engine ya ist au premio ya mwaka 2003 haiwezi push rumion..rumion engine yake ipo moded na ipo manufactured since 2007..

Ndio maana kuna series za engine ya 1nz

1Nz -FXE
1Nz -FE

Na katika hizo apo kuna sub type kama moja moja kwa kila moja ambavyo vinapishana vitu kama cooling system na vingine vingi ndani ya boxes..ingawa zote ni Cc 1489...
 
Mkuu NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK unataka kufanya mada iwe ngumu sana hizo CVT au VVTi ni mada tofauti kabisa, Premio zimeanza kutumia 1NZ FE toka 2002 sasa hayo mambo ya miaka yanatoka wapi? why unanze ku complicate mambo mkuu. Naomba usianzishe mjadala usio na umuhimu nakuelewa unachomaanisha na ninaelewa unachoongea ila umeamua uonekane unajua jambo, Ukitaka tuzidishe nitakyuamisha hado kwenye torque
 
Hizo mbio utakimbilia wapi kwenye hizi barabara zinazochimbwa na wachina kutengeneza mabomba almost kila sehemu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…