Toyota Premio inakimbia kuliko X- Trail new Model

You are very right mzee,

Lakini siunajua pia, hata ile league ya kuchakata misambwanda hua zinaumiza maisha ya wengine pia?
 
Ulikuwa pozi Tu Kwaajili ya picha Mkuu Ila ushauri wako naupokea
 
Very important. Mkono kushoto hapo alipouweka sipo
 
Hapo mkono ulipo rahisi sana yeye mwenye kujitupa likitoa la ghafla bin vuuu.. anajiingiza kingi vizuri. Ma barabarani yenyewe haya yalivyo na migongo
 

Ivi unajua kua adi premio ya mwaka 2017 inatumia engine ya 1Nz..unategemea tecnologia ya Nz ya deplacement ya premio ya kwaka 2003 na replacement ya engine ya premio mwaka 2017 ni sawa..wacha kuchekesha.
 
Ivi unajua kua adi premio ya mwaka 2017 inatumia engine ya 1Nz..unategemea tecnologia ya Nz ya deplacement ya premio ya kwaka 2003 na replacement ya engine ya premio mwaka 2017 ni sawa..wacha kuchekesha.
Umemuelewa mto mada ameongelea premio ya kipindi gani lakini? au unaleta ujuaji usio na maana, hicho unachokiongelea hakina maana hata kidogo na akikidhi criteria ya mtoa mada ameshasema premio hizi model za kati. Wewe hiyo ya 2017 umeowaona nao vijana gani wanazurula nazo hapa mjini? Sioni hata unachobisha na uwezi kunifundisha mie Engine Systems na zinavyofanya kazi kwa taarifa yako, ukitaka tujadili hili fungua uzi wako wa Engine Varieties na tutachangia na kukubomoa huko huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…