Toyota Premio inakimbia kuliko X- Trail new Model

Kitu kimoja unachokosea ni kua engine ya 1Nz ya gari ya mwaka 2001 haiwezi kua na performance sawa na engine ya 1Nz ya gari ya mwaka 2008..unaweka wapi suala la technology pembeni?...
Hapa naona umeamua kutuokota mzee baba 😹😹😹!

Tofauti ni gearbox tu mzee, IST ni ya Traditional Automatic whilst Rumion ni Continous Variable Timming.

Na pia mfumo wa Variable Valve timming una invole Variable valve lifting (Valvematic)! Thats the only difference na hii ni kwa Rumion zenye 2ZR engines.
 
jamaa naona anapita kwetu kuingia Dodoma, km sikosei kutokea Chigongwe kwenda mizani ya Nala, barabara ni nyeupe kwa hiyo ushikaji wa usukani si lazima kufuata Mwl alivyofundisha huko VETA maana hiyo gani ina pedal 2 tu tofauti na sisi tuliozoea manual, mkono mmoja mwingine kwenye fimbo, hata iwe 180 km/h sishiki km hizo saa, mradi mikono isipishane kwani hata tyre burst ikitokea ni akili yako si ya darasani tena
1615482792477.png
 
View attachment 1723015
Hapa tunaelimishana njia sahihi na salama za kuendesha gari. Lakini mwisho wa siku uamuzi ni wako unaweza hata usishike usukani kabisa hata ukiwa 180kph ni wewe.
 
🤣😍

RRONDO hapo nimekuelewa na mm naamini usalama kwanza na wala sitabisha ila nilitaka niweke wazi usukani unapishana kwa maumbo na ushikaji wake, wengine Auto wengine stick kwa hiyo mkono mmoja utahama na ushikaji wake
mm kushika saa 8:20

Holy Man

p/se usimuige huyo jamaa yeye hajafunga mkanda na ni gari kubwa sio Premio 🤣
 
View attachment 1723889
Mie mzee wa auto hizo tabu hazipo 😀😀😀.. mie mda wote mikono miwili ipo kwenye msikanyo 😀😀😀 maana mda wowote huwa nakimbia kimbia. Na nimeishazoe kushika kwa mikono yote miwili hata niwe mwendo mdogo
 
Mi nashika saa 9 kamili au saa 6 na robo.
safi kabisa kwa gari ndogo huchoki, nitasinzia baada ya masaa manne tu au kwa vile imeinuka lkn gari kubwa stearling km vile inapakatwa km ungo! ingawa kuna adjust ukifanya mchezo mgongo
ni mfano tu natoa
Mie mzee wa auto hizo tabu hazipo 😀😀😀.. mie mda wote mikono miwili ipo kwenye msikanyo 😀😀😀 maana mda wowote huwa nakimbia kimbia. Na nimeishazoe kushika kwa mikono yote miwili hata niwe mwendo mdogo

haya Bwana mkubwa tatizo hivi vigari vidogo stearling ipo wima km usukani wa meli ngoja nikutafutie picha ya jamaa kakamata na mkono mmoja Premio
1615616210744.png

samahani ni watu wa Premio na walimu wa VETA mkajanianguakia hapa tunachangamsha Jamvi tu na member zote ni stearling msije mkakuta za greda au kijiko mkashuka ni kupambana tu zenyewe zipo wima kabisa au km ya baiskeli
 
Back
Top Bottom