Tena watakuja kutuambia kuwa ohh sasa tumeamua kuwasikiliza wanyonge, tumeondoa kabisa tozo za kutuma miamala ya Pesa.Watazifuta tu hizi tozo kabla ya 2025! Hawa viumbe ni wepesi sana wa kutengeneza matatizo, na baadae kuja kuyatatua wao wenyewe kwa lengo la kujiongezea umaarufu wa kisiasa.
Yes, ngombe hata kama hana maziwa sometimes kamua tu.Hapana
Ukituma kwenda kwa namba ya simu kutoka simu yako ndio utakatwa
Na akitoa kutoka simu kwa Wakala naye atakatwa
Kodi kwa maendeleo ya kweli kweli ya Nchi
Hivi kwa nini asiuwawe tu huyu dhungu?kodi ya kichwa huenda ikarudishwa, soon khuyu huyu Mbunge wa Dar aliyependekeza tozo za simu anataka kupendekeza kodi ya kichwa, na italipwa tu.
Safi sana hii ndio inafaa ili heshima ya pesa irudi mtaani, milioni inatakiwa mtu aipandie basi ikiwezekana avuke mkoa sio eti "tuma na ya kutolea"Safi.
Mafuta ya Kula yenyewe ni anasa SASA hapo tutashangaa nini? . Kazi inaendelea 🙄🙄🙄Tumeipenda wenyewe…ndindi…. chaguo letu wenyewe.. 💃🏾🕺🏽💃🏾🕺🏽💃🏾🕺🏽
Sisi CHADEMA tushazoea kusomeshwa namba, shida ipo kwenu huko watoto wa TEUZI.
…
Ajira itoke wapi hapo?Hii inaongeza ajira au inapunguza?
Na yule anayelipwa 12m kwa mwezi akasema ni ndogo na akataka walipwe kwa dola, ujue wanatuona sisi SIYO MA-ZUZU ila vikaragosiHivi kwa nini asiuwawe tu huyu dhungu?
Hahahaaaa! Mwigullu Nchemba aliutamani sana uwaziri wa fedha.ajira itoke wapi hapo??
huyu mchumi wa kwenye majabali amelivuruga taifa kwenye uchumi.
Hahah anamgombanisha mama na wananchi.Hahahaaaa! Mwigullu Nchemba aliutamani sana uwaziri wa fedha.
Ngoja tuone!
Iyena iyenaSafi.
Siyo Morogoro tu mkuu hata akiwa nyumba ya pili tu hapo anakatwa hiyo hiyoMara mia mtu atoke Moro aje achukue 1M yake Dar kuliko kumtumia kwa Simu..
Mambo yanaanza bam bam
Mmh..[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]Safi.
Wanakera sana hawa wachumia tumboNa yule anayelipwa 12m kwa mwezi akasema ni ndogo na akataka walipwe kwa dola, ujue wanatuona sisi SIYO MA-ZUZU ila vikaragosi