Tetesi: Tozo Mpya Kutuma fedha kwa simu kufa, Watanzania walia

Shida ije tuu uchumi uta offset baada ya mda kwa vile pesa inarejea kuzunguka mtaani kwa hiyo hakuna shida.
Uchumi uta off set ,baada ya mda ,so far pesa itarejea kuzunguka mtaani, hakuna shida!!

Iyo pesa ya kuzunguka mtaani itatoka wapi wakati wananchi Wanazidi kaukiwa, ?

KWA fikra tu , mtu anazaliza mpunga KWA gharama kubwa ila Mpaka kuufikisaha sokoni,gharama inaongezeka Mara dufu na kupata faida kiduchu , Sasa Iyo pesa ya kuzunguka mtaani inapatikana vipi mkuu

Toa shule kidogo, au funguka
 
Wewe sikia fedha inachukulia na kuwa organized kwa kuboresha maeneo yenye tija na kupunguza zaidi gharama za maisha yao,pili kumbuka zinaenda kwenye kampuni za wakandarasi,zinaenda kuleta maji nk
 
ccm mbereeeee kwa mbereeeee
Mama Samia usisikilize watu wapinga maendeleo. Haipo nchi inaendelea bila wananchi wake kulipa kodi hususani indirect tax iliyo na wigo mpana. Hii ni kodi ya uhakika kwa miradi. Asiyetaka kulipa ahamie kwingine. Hakuna kubebana.
 
Turudi kuzitumia bank.

Huku kwenye simu ni balaa,vifurushi juu,huduma kifedha juu uuuuwi
 
Ubunifu ni kipaji ambacho kwa bahati mbaya hawakujaaliwa kuwa nacho, wanachokifanya nikutimiza wajibu ili waendelee kukalia mamlaka waliyotunukiwa.
 
Ubunifu ni kipaji ambacho kwa bahati mbaya hawakujaaliwa kuwa nacho, wanachokifanya nikutimiza wajibu ili waendelee kukalia mamlaka waliyotunukiwa.
Majinga yanaweka kodi kwenye Utilities ni uhayawani wa hali ya juu! Yani uweke kodi kwenye bill ya simu, bill ya maji, umeme ama house rent! Huu ni upunguani na ujuha uliotukuka!
 
inamana kama kutoa milion 1 ilikuwa 8000 sahivi ni 16000 au mimi ndo sijaelewa ? pia inamana kama kutuma m1 ni 8000 sahivi ni 16000 ufafanuzi tafadhali
 
............
" Sikutegemea baada ya kulala kwa muda mfupi na kuamka mambo yamekuwa hv yaani ni vitu vya ajabu"
au nasema uongo ndg zangu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…