Simu wanaweza kunitoza bei gani?Unaagiza nini?
Sijui customs wanatumia vigezo gani kuamua mizigo ipi ilipiwe ushuru na ipi ipite bila ushuru.
Sijui kwa uhakika ila itategemeana na gharama uliyotumia kununulia simu. At least 18% of it.Simu wanaweza kunitoza bei gani?
Utatunguliwa yafuatayo:-Simu wanaweza kunitoza bei gani?
Ina maana Kikuu hawapitishii Posta au Airport?!Kuna vitu vingi nimeagiza hapa kichwa kinaniuma[emoji134]
Bora ningeenda KIKUU ila nao mizinguo tu[emoji57]
Asante kwa ufafanuzi mkuu.Utatunguliwa yafuatayo:-
1. Custom Processing Fee = 0.6%
2. Railway Dev Levy = 1.5%, na
3. VAT = 18%.
Sasa assume simununua kwa TZS 500,000
0.6% ya TZS 500K = TZS 3000...... i
1.5% ya TZS 500K = TZS 7500..... ii
Now, thamani ya simu itayotakiwa kukatwa kodi ni 3000 + 7500 + 500,000 = 510,500
VAT 18% ya 510,500 = TZS 91,890 -- Hiyo ndo utawaachia TRA!
Itoshe tu kwamba, ukiagiza bidhaa kwa bei ya kukurupuka, halafu ukaingia kwenye mikono ya TRA, unaweza kujikuta unalipia bidhaa husika kwa pesa ya juu zaidi kuliko kama ungenunua TZ!
Utatunguliwa yafuatayo:-

Nimekuwa nikiagiza bidhaa nyingi kutoka aliexpress, na mara zote nimekuwa nikitozwa kodi kubwa na posta ninapoenda kuchukua mzigo zaidi ya bidhaa bei ninazoagiza.
Nataka kujua kwa wenzangu ambao mnaagiza kama nyie mnatozwa hivyo au mimi nakosea sehemu!
Mnielekeze nifanyaje ili kupunguza kodi.
Mbona mimi natumia kikuu mwaka wa tano huu naona wako freshKuna vitu vingi nimeagiza hapa kichwa kinaniuma[emoji134]
Bora ningeenda KIKUU ila nao mizinguo tu[emoji57]
Mbona mimi natumia kikuu mwaka wa, tano huu naona wako fresh
Ila ni kipindi hiki kweli ila zamani bidhaa zilikua bei chee sanaKikuu wanazingua bei zao zipo juu sana
Kwanini hizo 3000 na 7500 zijumuishwe kwenye original price ndo zitumike kukatwa kodi?Utatunguliwa yafuatayo:-
1. Custom Processing Fee = 0.6%
2. Railway Dev Levy = 1.5%, na
3. VAT = 18%.
Sasa assume simununua kwa TZS 500,000
0.6% ya TZS 500K = TZS 3000...... i
1.5% ya TZS 500K = TZS 7500..... ii
Now, thamani ya simu itayotakiwa kukatwa kodi ni 3000 + 7500 + 500,000 = 510,500
VAT 18% ya 510,500 = TZS 91,890 -- Hiyo ndo utawaachia TRA!
Itoshe tu kwamba, ukiagiza bidhaa kwa bei ya kukurupuka, halafu ukaingia kwenye mikono ya TRA, unaweza kujikuta unalipia bidhaa husika kwa pesa ya juu zaidi kuliko kama ungenunua TZ!
Kuna vitu vingi nimeagiza hapa kichwa kinaniuma[emoji134]
Bora ningeenda KIKUU ila nao mizinguo tu[emoji57]
Ndo maana inaitwa VALUE ADDED Tax!Kwanini hizo 3000 na 7500 zijumuishwe kwenye original price ndo zitumike kukatwa kodi?
Kwanini wasingetoa ila wakajumuisha.?
Kwa hiyo speed ya mzigo tangu uliponunua mpaka kuupata ni halali kutozwa hiyo shipping fee kubwaGharama ya kusafirisha saa moja moja kama unatumia Stackry kwa calculator yao utasanda tu ni heri ku-consolidate kwenye box moja kubwa.
Utakwepa TRA ila shipping cost itakuua.
Miwani tu pc 1 wameniambia shipping $70 USPS Express ilhali kuna mizigo mitatu nimeweka box moja about 1kg nimesafirisha kwa $147!View attachment 1652248