Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo lazima kuwa na sanduku la posta. Ukijaza tu taarifa zote za muhimu inatosha na mzigo utafika.Samahani wakulungwa.... hivi kuagiza mzigo kwa njia ya POSTA ni lazima nifungue SANDUKU la posta???
Au naweza muagiza bila hata ya kuwa na sanduku laleo posta,?? Na mzigo ukafika ??
Safi mkuu ngoja niagize na mimiSiyo lazima kuwa na sanduku la posta. Ukijaza tu taarifa zote za muhimu inatosha na mzigo utafika.
Kina cho hitajika namba yako ya simu mkoa ulipo na wilaya habari imeishaSamahani wakulungwa.... hivi kuagiza mzigo kwa njia ya POSTA ni lazima nifungue SANDUKU la posta???
Au naweza muagiza bila hata ya kuwa na sanduku laleo posta,?? Na mzigo ukafika ??
Daaah kumbe umenifungua akiki sana mkuu. Hapo awali, nilikuwa nawaza namna yaya kufungua posta box sasa nikasema duh hayaI mambo mbna ni ghali tena. Kwa ufafanuzi huu nitakuwa nafanya na mini manunuzi online aisee.Kina cho hitajika namba yako ya simu mkoa ulipo na wilaya habari imeisha
Mkuu mbona wengi sasahv wanaagiza China, mimi sio mfanyabiashara lakini nimeshaungwa kwenye magroup naona kila siku watu wapo bussy kuulizia bidhaa, kununua Yuan na kuagiza bidhaa!Ndugu nataka niwe naagiza mali china unaweza nisaidie
Aisee ni kweli. Ila sikuwahi kufahamu kwamba bila ya kuwa na sanduku la posta unaweza, ukaagiza.Mkuu mbona wengi sasahv wanaagiza China, mimi sio mfanyabiashara lakini nimeshaungwa kwenye magroup naona kila siku watu wapo bussy kuulizia bidhaa, kununua Yuan na kuagiza bidhaa!
[emoji115][emoji115][emoji115]Nashukuru mzigo wangu ulifika salama, nilikwenda kuufata tarehe 14 Juni, tatizo lililopo ni kwenye kodi za TRA na uendeshaji posta, bei ya mzigo ilikuwa ni US$ 18(43990), hivyo TRA nikawalipa 48% ya mzigo ambayo 21115 + gharama za uendeshaji Posta 5900. Hivyo zimenitoka jumla 27015.Hivi ukiagiza mzigo kwa kutumia Aliexpress na tracking ikikuonesha kuwa mzigo tayari umeshafika Tz, vipi ndio niwahi posta kwenda kufata mzigo wangu?!
Wewe unaonaje gharama? Ni ghali kuliko kama ungenunulia hapa hapa?[emoji115][emoji115][emoji115]Nashukuru mzigo wangu ulifika salama, nilikwenda kuufata tarehe 14 Juni, tatizo lililopo ni kwenye kodi za TRA na uendeshaji posta, bei ya mzigo ilikuwa ni US$ 18(43990), hivyo TRA nikawalipa 48% ya mzigo ambayo 21115 + gharama za uendeshaji Posta 5900. Hivyo zimenitoka jumla 27015.
[emoji1474]
Kwa kifupi nimeona ni gharama za kawaida na kila nilipolipia sikuchukua change, kwa maana nilichokiagiza hapa Tz hakipo, na hata kama ningeagiza kwingine nje ya aliexpress basi bei yake isingepungua chini ya laki. Ijapokuwa ni kitu kidogo sana.Wewe unaonaje gharama? Ni ghali kuliko kama ungenunulia hapa hapa?
Simu haitozwi import ,wala excise dutyUmesahau import Duty 25% kwa simu
Je nikiagiza mzigo kupitia DHL utapitia kwao, au utakuja kwangu direct?Kwa kweli sijui customs ya posta kazi yao ni nn siku hz wana category mbovu kuliko kawaida
Nafikiri haupiti posta.. na kama umekuja kwa ndege .. utapitia tra hapo dhl wata u clear then unakuja kulipa gharamaJe nikiagiza mzigo kupitia DHL utapitia kwao, au utakuja kwangu direct?
Sasa chief nitakuja kulipa gharama zipi tena wakati nishalipia tangu mwanzoni?Nafikiri haupiti posta.. na kama umekuja kwa ndege .. utapitia tra hapo dhl wata u clear then unakuja kulipa gharama
Malipo yote unafanya kwa Gepg?Ila wanachotufanyia TRA muda mwingine ni wizi wa wazi wazi, kwenye asilimia ya makato huwa wanatuongezea kodi.
View attachment 1842078
Walinikata 48% wakati kiwango stahiki ni 45%
View attachment 1842077
Inamaana wafanyakazi wa TRA wanapitisha wizi wao kwa kutukata kwenye % mwisho wa siku wanajiongezea kipato cha haramu!