Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
NdioMalipo yote unafanya kwa Gepg?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioMalipo yote unafanya kwa Gepg?
Iwe manufaa na kwa wengine...Ila wanachotufanyia TRA muda mwingine ni wizi wa wazi wazi, kwenye asilimia ya makato huwa wanatuongezea kodi.
View attachment 1842078
Walinikata 48% wakati kiwango stahiki ni 45%
View attachment 1842077
Inamaana wafanyakazi wa TRA wanapitisha wizi wao kwa kutukata kwenye % mwisho wa siku wanajiongezea kipato cha haramu!
Kutoka aliexpress?Iwe manufaa na kwa wengine...
Ilikuwa hivi... mwaka 2019 mwezi wa 12 niliagiza simu aina ya Realme X 8/256 kwa 256$ wale jamaa nilicontact nao nikawaambia kuwa customs clearance kwa TZ ni kubwa so nikawaomba wa declare around 100$ ili isiniwie vigumu kuikomboa ikifika bongo... Ila jamaa waka reply usiwaze tutadeclare 30$ right? nikawaambia fresh.. ilipofika nililipa around 14K TZS tu.
Nilifanya hivyo kwa saa na mizigo mingine yoote niliyohisi itatozwa kodi bongo..
Sijazipata conversations ila ninge screenshot muone
Basi itakuwa wakikusabya mengi wanapata commission?Ndio
Inawezekana ngoja niwawekee list na viwango vya makatoBasi itakuwa wakikusabya mengi wanapata commission?
Mkuu TRA wanajumuisha pesa ya usafiri kwenye kukata hyo 18% au hamna
Simu ya mkononi haina import duty! Na hata ukiangalia hapo utakuta hiyo uliyolipia ni vat 18% reli 1.5% na processing 0.6%Iwe manufaa na kwa wengine...
Ilikuwa hivi... mwaka 2019 mwezi wa 12 niliagiza simu aina ya Realme X 8/256 kwa 256$ wale jamaa nilicontact nao nikawaambia kuwa customs clearance kwa TZ ni kubwa so nikawaomba wa declare around 100$ ili isiniwie vigumu kuikomboa ikifika bongo... Ila jamaa waka reply usiwaze tutadeclare 30$ right? nikawaambia fresh.. ilipofika nililipa around 14K TZS tu.
Inawezekana unavyoagiza havina import duty na wakija kwenye vat wanajikuta hawana cha kukata!Sijawahi kutozwa chochote na posta
ndio mkuu aliexpress ilikuwaKutoka aliexpress?
Hyo tozo ni bei ya mzigo tuu au na usafiri?Iwe manufaa na kwa wengine...
Ilikuwa hivi... mwaka 2019 mwezi wa 12 niliagiza simu aina ya Realme X 8/256 kwa 256$ wale jamaa nilicontact nao nikawaambia kuwa customs clearance kwa TZ ni kubwa so nikawaomba wa declare around 100$ ili isiniwie vigumu kuikomboa ikifika bongo... Ila jamaa waka reply usiwaze tutadeclare 30$ right? nikawaambia fresh.. ilipofika nililipa around 14K TZS tu.
Nilifanya hivyo kwa saa na mizigo mingine yoote niliyohisi itatozwa kodi bongo..
Sijazipata conversations ila ninge screenshot muone
Nilitegemea mtu kununua kitu kimoja kwa matumizi yake iwe bure lakini wapi huku kuna ShidaHyo tozo ni bei ya mzigo tuu au na usafiri?
Samahani mkuu hujanijibu.Nilitegemea mtu kununua kitu kimoja kwa matumizi yake iwe bure lakini wapi huku kuna Shida
Unaponunua mzigo unakuwa umelipa na kodi? Hao DHL wenyewe wanataka hela yao. Hawakufanyii kazi bure.Sasa chief nitakuja kulipa gharama zipi tena wakati nishalipia tangu mwanzoni?
Ndio maana nikauliza baada ya kulipia utanifikia mkononi au utapitia posta. Na kama nitakuja kulipia tena kuna uzuri gani kutumia DHL?
Ushauri kama huu ndio anaupata humu sasa...Siku nyingine ukiagiza na ukatozwa tozo unayohisi ni kubwa:
1: Muone inchaji wa customs department akupe ufafanuzi, kipi kinachajiwa na kwa nini?
2: Muone mkuu wa posta unapochukulia vifurushi vyako akupe ufafanuzi.
Humu tutakujaza mafuta. Go to reliable source ( msisitizo)
Hapo sasa assume angeandikiwa $256 na sio $30 maana yake angepasuka zaidi ya laki 1 hivo mtu anaweza kughairi kuagiza kitu nje Kwa gharama ya Kodi Tu na risk ya kupoteza mzigo lakini pia muda anaotumia kusubiriaSimu ya mkononi haina import duty! Na hata ukiangalia hapo utakuta hiyo uliyolipia ni vat 18% reli 1.5% na processing 0.6%
Jumla 18% + 1.5% + 0.6% = 20.1%
Hivyo 20.1% ndani ya dola 30(69000)
69000/100 = 690 x 20.1
= 14,490 Nadhani tumeelewana
View attachment 1842203
Nimekuonesha hapo kuwa simu ya mkononi haina import duty.
Ila nitafata ushauri wako kuanzia sasa ni mwendo wa kushusha bei tu!!
Chief, kinachomata ni kuokoa fedha, unafikiri kuokoa 120,000 kwenye 600,000 ni jambo dogo??Hapo sasa assume angeandikiwa $256 na sio $30 maana yake angepasuka zaidi ya laki 1 hivo mtu anaweza kughairi kuagiza kitu nje Kwa gharama ya Kodi Tu na risk ya kupoteza mzigo lakini pia muda anaotumia kusubiria
mfano simu huku inauziwa laki 600000 Ila nje umeona inauziwa 380000 Ila makato 100000 sasa hapo si bora ununue huku Tu maana kuondoa usumbufu wa kusubiri mzigo wako