4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Mda wa kukusanya hasira KWA wananchi kuelekea chaguzi zijazo , Taifa bado linaitaji mabadiliko MAKUBWA ya kiuongoziKwanini nasema hivyo? Kwa sababu hakuna mtu ataenda kununua vocha ya sh 1000 dukani wakati anajua kabisa atakatwa kiasi cha sh 100 au zaidi wakati huohuo hakuna kifurushi cha sh 900...
Ahahahah yaani hadi saivi nawaza niwe naweka buku ya kukatwa daily huku vocha nyingine kama kawaida..Mambo ya zari boss lady hayo
Ingekuwa bia imepanda bei zaidi ungeunga mkono?Changia maendeleo.Kuwa mzalendo.🤣🤣🤣🤣Hawa viongozi ni wagonjwa wa akili, Kama mmshindwa kufikiria ombeni msaada tuwaainishie vyanzo mbadala vya mapato siyo kuwanyonya wananchi.
Ni sawa, ukiandika shilingi elfu 2,000 hiyo ni kusema shilingi milioni 2. Tofauti na kuandika shilingi elfu 2Something is wrong here.
Kwenye sehemu (I)
Serikali itapata 1,254,406.14 milioni ambayo Ni sawa na 1,254,406,240,000 0r 1.2 trillion
Sehemu (ii)
396,306 milioni sawa na 396,306,000,000 which 396 billion
1,254,406,000,000.14=Tilioni moja mia mbili hamsini na nne bilioni, mia nne na sita milioni na senti kumi na nne.View attachment 1814823View attachment 1814824kwa maneno zinandikwaje?
1,254,406,000,000.14
396,306,000,000.
Watz imefikia muda kuwa held 'accountable' hawa viongozi wetu! Wanatukamua afu watumie hela zetu kumnunulia benz mzee ruksa, seriously 😡!! Huyu mzee ni kwamba hajiwezi kujinunulia vibenz kama hivyo 👊👊 kwa hela aliyonayo na familia yake! Wataendelea kutukamua, lakini tusipowatolea macho bila kupepesa watazitumia kwa kufanya vi'birthday' na kununuliana vijizawadi! Miladi ya maana kwa maendeleo yanayowagusa wananchi inasuasua na kutelekezwa! Tulipe kodi lakini tupige kelele mpaka kieleweke 😡! Pasipo maono...!Hawa viongozi ni wagonjwa wa akili, Kama mmshindwa kufikiria ombeni msaada tuwaainishie vyanzo mbadala vya mapato siyo kuwanyonya wananchi.
Ccm ni janga kataa au kubari tunahitaji Mabadiliko
Hii nchi ni ngumu sana kuishi
Hawaijui hilo. Wao wanakomba 11 million Kw mwezi hivyo wanafikiri kila mtanzania ana huo uwezo.Viongozi out of touch with reality -Hivi viongozi hawajui Tsh 3000 ndio bajeti ya mawasiliano ya simu mwezi mzima ya watanzania wengi tu.
Nakushukuru sana Kiongozi, barikiwa na Bwana1,254,406,000,000.14=Tilioni moja mia mbili hamsini na nne bilioni, mia nne na sita milioni na senti kumi na nne.
396,306,000,000=Bilioni mia tatu tisini na sita milioni mia tatu na sita
Ni heri waweke sheria kama huna kifurushi, simu/sms haziingii, hii itapunguza ghost sim cards na hasara kwa makampuni ya simu! Baadhi ya nchi iko hivo kwa wale wakaa hewani bila vocha inakua imekula kwao