Tozo ya Tsh. 100 hadi 200 kila siku kwenye line za simu: Mitandao ya simu isitishe uuzwaji wa Vocha

Tozo ya Tsh. 100 hadi 200 kila siku kwenye line za simu: Mitandao ya simu isitishe uuzwaji wa Vocha

Kwanini nasema hivyo? Kwa sababu hakuna mtu ataenda kununua vocha ya sh 1000 dukani wakati anajua kabisa atakatwa kiasi cha sh 100 au zaidi wakati huohuo hakuna kifurushi cha sh 900...
Mda wa kukusanya hasira KWA wananchi kuelekea chaguzi zijazo , Taifa bado linaitaji mabadiliko MAKUBWA ya kiuongozi

Tz shida Sana, bado kodi ya kulipia baiskel itakuja tu lain tiyari,
 
1623379828634.png
1623379863383.png
kwa maneno zinandikwaje?
1,254,406,000,000.14
396,306,000,000.
 
Hawa viongozi ni wagonjwa wa akili, Kama mmshindwa kufikiria ombeni msaada tuwaainishie vyanzo mbadala vya mapato siyo kuwanyonya wananchi.
Ingekuwa bia imepanda bei zaidi ungeunga mkono?Changia maendeleo.Kuwa mzalendo.🤣🤣🤣🤣
 
Something is wrong here.
Kwenye sehemu (I)
Serikali itapata 1,254,406.14 milioni ambayo Ni sawa na 1,254,406,240,000 0r 1.2 trillion
Sehemu (ii)
396,306 milioni sawa na 396,306,000,000 which 396 billion
Ni sawa, ukiandika shilingi elfu 2,000 hiyo ni kusema shilingi milioni 2. Tofauti na kuandika shilingi elfu 2
 
Hawa viongozi ni wagonjwa wa akili, Kama mmshindwa kufikiria ombeni msaada tuwaainishie vyanzo mbadala vya mapato siyo kuwanyonya wananchi.
Watz imefikia muda kuwa held 'accountable' hawa viongozi wetu! Wanatukamua afu watumie hela zetu kumnunulia benz mzee ruksa, seriously 😡!! Huyu mzee ni kwamba hajiwezi kujinunulia vibenz kama hivyo 👊👊 kwa hela aliyonayo na familia yake! Wataendelea kutukamua, lakini tusipowatolea macho bila kupepesa watazitumia kwa kufanya vi'birthday' na kununuliana vijizawadi! Miladi ya maana kwa maendeleo yanayowagusa wananchi inasuasua na kutelekezwa! Tulipe kodi lakini tupige kelele mpaka kieleweke 😡! Pasipo maono...!
 
hiyo ni akili ya muigulu nchemba ndie anataka kuwa rais atatumaliza
 
Viongozi out of touch with reality -Hivi viongozi hawajui Tsh 3000 ndio bajeti ya mawasiliano ya simu mwezi mzima ya watanzania wengi tu.
Hawaijui hilo. Wao wanakomba 11 million Kw mwezi hivyo wanafikiri kila mtanzania ana huo uwezo.
 
Ngoja kwanza uchumi uanguke ndipo serikali itatia akili.

Kampuni za simu zimepigika kutokana na zoezi la kuhakiki line za simu, leo unaziongezea mzigo wa makato?
 
Ni heri waweke sheria kama huna kifurushi, simu/sms haziingii, hii itapunguza ghost sim cards na hasara kwa makampuni ya simu! Baadhi ya nchi iko hivo kwa wale wakaa hewani bila vocha inakua imekula kwao

Mada ni kodi! Sijui kampuni inapataje hasara kwa simcards kupungua. Nchi hii anayepiga simu ndio hukipa gharama, ndio maana hata ukiwa huna salio bado unapigiwa. Wewe ni wa siku hizi. Zamani tulikuwa na mfumo unaoupendekeza (kuwa hewani tu - unalipa). Ikaja unaweza kubeep bila salio! Tulipo hapa ndio inatakiwa - acha kupendekeza vitu vya zamani kabla hujaanza hata kujitegemea.
 
Back
Top Bottom