mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,527
- 2,469
Unatafuta uteuzi nini? Umeandika pumba tupu bora ungekaa kimyaKuhusu tozo za miamala ya simu mie bado nipo pamoja na mh. Raisi kwan amelazimika kutoka na hali halis aliyoikuta ya mtanguliz wake.
Tuvumilieni na tumpe matumaini na tumkosoe kwa staha kwakuwa yeye Ni binadam hataacha mapungufu ila sio matusi Kama wafavyo wahuni.
Haya mnayoyaona Sasa Ni matokeo ya mwendazake na lilikuwa Jambo la muda tu lazima yangetokea na nahis yangepita hapa.
Mama amekaa muda mchache ila ameleta matumaini makubwa kwa wananchi,tusimbeze badala yake tunpe muda tu hali itaimarika.