mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,527
- 2,469
Unatafuta uteuzi nini? Umeandika pumba tupu bora ungekaa kimyaKuhusu tozo za miamala ya simu mie bado nipo pamoja na mh. Raisi kwan amelazimika kutoka na hali halis aliyoikuta ya mtanguliz wake.
Tuvumilieni na tumpe matumaini na tumkosoe kwa staha kwakuwa yeye Ni binadam hataacha mapungufu ila sio matusi Kama wafavyo wahuni.
Haya mnayoyaona Sasa Ni matokeo ya mwendazake na lilikuwa Jambo la muda tu lazima yangetokea na nahis yangepita hapa.
Mama amekaa muda mchache ila ameleta matumaini makubwa kwa wananchi,tusimbeze badala yake tunpe muda tu hali itaimarika.
Magufuli attackers at work stupid guy may come with such commentKuhusu tozo za miamala ya simu mie bado nipo pamoja na mh. Raisi kwan amelazimika kutoka na hali halis aliyoikuta ya mtanguliz wake.
Tuvumilieni na tumpe matumaini na tumkosoe kwa staha kwakuwa yeye Ni binadam hataacha mapungufu ila sio matusi Kama wafavyo wahuni.
Haya mnayoyaona Sasa Ni matokeo ya mwendazake na lilikuwa Jambo la muda tu lazima yangetokea na nahis yangepita hapa.
Mama amekaa muda mchache ila ameleta matumaini makubwa kwa wananchi,tusimbeze badala yake tunpe muda tu hali itaimarika.
Kabisa watatakaje maoni wakati sheria ishapitishwa na makato yameshaanza?Kwanini hawakutaka maoni yetu kabla ya kuanzisha tozo hizo?
Nawaza tu una elfu tano, mtu amekuomba elfu tatu au elfu nne umrushie alipie dawa , au chakula , au kunadharura au ameharibikiwa na gari mahali na fundi anataka elfu nne na yeye hana, Hivi unamsaidiaje!!? Hapa si ndio tunaanza kuonana sisi sio wazalendo hatutaki kusaidiana kisa makato ya kimshikamano!!? Hapa tunashikamana wapi!!?View attachment 1856216
Wadau, tutiririke hapa au mnaonaje?
Unaweza kusoma maoni ya wengine kupitia hii TAG on JF: tozo za miamala
Kulisahauliwa sana kule mkuu,sio mbaya sana ili tuimarishe Muungano wetu,ila yote kwa yote kikubwa ni tuone maendeleo kwa jasho letu kupitia hizo tozo na sio kulipana posho za kipuuzipuuzi tuTatizo ni matumizi ya hizo kodi
Ghafla utasikia uwanja wa ndege unajengwa kijijini kwao pemba
View attachment 1856216
Wadau, tutiririke hapa au mnaonaje?
Unaweza kusoma maoni ya wengine kupitia hii TAG on JF: tozo za
Hiyo kitu havijakaa sawa.View attachment 1856216
Wadau, tutiririke hapa au mnaonaje?
Unaweza kusoma maoni ya wengine kupitia hii TAG on JF: tozo za miamala