Mpaka hapo Kodi ya miamala imegeuzwa kuwa chanzo rasmi Cha KodiAkiwasilisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote Bungeni baada ya kukwama mara mbili, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema baada ya Serikali kutakiwa kueleza chanzo cha Fedha zitakazoendesha Bima ya Afya kwa Wote, Wizara ya Fedha imeridhia kuhamisha baadhi ya Kodi na Tozo kwenda kwenye mfuko huo.
Baadi ya Kodi ni pamoja na Kodi ya Magari, Vinywaji vya Bicarbonate, Vinywaji Vikali na Tozo za Miamala itaingia moja kwa moja katika kugharamia huduma za Bima.
Utapeli mwingine huo!!😂😂🤣Akiwasilisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote Bungeni baada ya kukwama mara mbili, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema baada ya Serikali kutakiwa kueleza chanzo cha Fedha zitakazoendesha Bima ya Afya kwa Wote, Wizara ya Fedha imeridhia kuhamisha baadhi ya Kodi na Tozo kwenda kwenye mfuko huo.
Baadi ya Kodi ni pamoja na Kodi ya Magari, Vinywaji vya Bicarbonate, Vinywaji Vikali na Tozo za Miamala itaingia moja kwa moja katika kugharamia huduma za Bima.
Madini yanatumika kulipa mafao ya wenza
Tuna utawala wa hovyo sn unawaza anasa tupu
Ukweli ni kwamba ni njia tu ya kukusanya kodi maana kila mtu itampasa kuwa nayo ila huduma zitakazotolewa utasikia watu wanalalamika. Kwa maisha ya mtanzania na umasikini huu haiwezi kusaidiaBima ya afya kwa watu maskini wasokua na uzazi wa mpango wasopata mlo kamili
Apo ni kuongeza tu umaskin sabu wajinga watazaa sana wakiamin matibabu ni bure
Lakin pia huwezi kuweka bima ya afya kwa watu ambao mfumo wao wa maisha bado ni duni
Malazi duni
Makazi duni
Matibabu duni
Mavazi duni
Tuboreshe kwanza maisha ya wananchi kabla ya bima ya buree lasivyo iyo bima haito dumu serikal itaingia hasara ndan ya mda mfupi iyo bima haitakua na maana yyte
Bima ya afya iko hoi bin taabani, wanaoifilisi ni maboss wa huo mfukoAkiwasilisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote Bungeni baada ya kukwama mara mbili, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema baada ya Serikali kutakiwa kueleza chanzo cha Fedha zitakazoendesha Bima ya Afya kwa Wote, Wizara ya Fedha imeridhia kuhamisha baadhi ya Kodi na Tozo kwenda kwenye mfuko huo.