Tozo za Miamala, Kodi za Vinywaji Vikali kugharamia Bima ya Afya kwa Wote

Tozo za Miamala, Kodi za Vinywaji Vikali kugharamia Bima ya Afya kwa Wote

Hii safi sana, kodi za Watanzania ziwatumikie Watanzania.
 
Ujinga tu( kutokujua mbinu sahihi), watu sijui lini watajifunza kubeba majukumu yao.

Ni ujamaa na kujitegemea, KUJITEGEMEA. Sio utegemezi wa kodi za wengine ndio zikatatue matatizo binafsi ya watu.

Kodi zijenge vitu vya jamii kiujumla wake. Kama mahospitali na mabarabara na mawasiliano. Sio kulipia bili binafsi za matatizo binafsi ya watu.

Mtakaobisha naomba niwakumbusje kuwa kikanuni (in principle) HAKI ndio huinua taifa, endeleeni kujidanganya kuwa HURUMA zitaliinua taifa. Hurumahuruma zikizidi zitalididimiza zaidi taifa zaidi. Tafuneni si mna akili.
Kwa aina ya jamii tuko nayo ni kuongeza wananchi mizigo. Kuna wapuuzi watazidi kufyatua kiholela.
 
Kwa aina ya jamii tuko nayo ni kuongeza wananchi mizigo. Kuna wapuuzi watazidi kufyatua kiholela.
Ni masikitiko,

Yaani kuondoa ile hali ya kubeba majukumu binafsi kutazidi kutudidimiza sana maana hapo fikiria mjasiriamali atakayetaka kujikomboa atajaziwa mi kodi ya kipuuzi ili kulipia ada na bili za 'wanyonge' wa kujitakia walioridhika na kutokujiweza.

Ambao sasa wamevuka badala ya kuomba huruma, wanaidai huruma. Huruma sio haki mazee ni huruma tu, hisani gdmnt
 
Una maana kila mtu abebe msalaba wake mwenyewe, basi bunge lisitishe mjadala wa bima kwa wote.
Likiweka bima basi hao wananchi ndio walipie hizo bima zaidi sio kodi.

Sio waseme bima halafu hela watoe kodi kwingine kabisa kusikohusika.

Unajua tusipoangalia tutakuwa tunasambaza umasikini kwa watu wote badala ya kukusanya kidogo na kujenga utajiri utakaonufaisha watu wote.
 
Ujinga tu( kutokujua mbinu sahihi), watu sijui lini watajifunza kubeba majukumu yao.

Ni ujamaa na kujitegemea, KUJITEGEMEA. Sio utegemezi wa kodi za wengine ndio zikatatue matatizo binafsi ya watu.

Kodi zijenge vitu vya jamii kiujumla wake. Kama mahospitali na mabarabara na mawasiliano. Sio kulipia bili binafsi za matatizo binafsi ya watu.

Mtakaobisha naomba niwakumbusje kuwa kikanuni (in principle) HAKI ndio huinua taifa, endeleeni kujidanganya kuwa HURUMA zitaliinua taifa. Hurumahuruma zikizidi zitalididimiza zaidi taifa zaidi. Tafuneni si mna akili.
Serikali inakosea sana kwa kweli kutukata kodi ili zilipie wwvivu na walevi inatakiwa swala la bima ya afya liwe swala la mtu binafsi ili awe na nidhamu na ya matuimiz yake
 
Naomba kufahamishwa Sehemu ninapoweza kuusoma huu muswada wenyewe pamaja na jedwali la marekebisho ya serikali.
 
HAYA MAMBO YA BIMA YA AFYA SOMETIMES NAONAGA KAMA UJINGA FULANI, KWANINI GHARAMA ZA TIBA ZISISHUSHWE KUFIKIA WATANZANIA WALIPIE 1/4 TU, NA SEREKALI IGHARAMIE 3/4, KAMA ZAMBIA.
 
Yaani watu watibiwe bure?
Hahahaha kichekesho...hizi ni siasa
 
Back
Top Bottom