Tozo za Miamala, Kodi za Vinywaji Vikali kugharamia Bima ya Afya kwa Wote

Tozo za Miamala, Kodi za Vinywaji Vikali kugharamia Bima ya Afya kwa Wote

serikali Ina haja ya kuangalia vizuri muswada walioupeleka bungeni hasa kwenye matumizi ya kodi katika kulipia bima Lengwa ya Bima kwa wote.
Hii bima imengalia uwezo wa familia duni hasa vijana ambao bado hawajajipata kiuchumi itakuwa ngumu kwa upande wa pili serikali iangalie uboreshwaji wa huduma katika vitu vya afya kabla ya utekelezaji wa bima hii kwa wote.

BIMA ya afya kwa wote ni ya muhimu sana hasa kwenye kudumisha jamii bora Ila bado serikali Ina kazi kubwa ya kuboresha mazingira bora Uriah I huduma na huduma zenye hasa vijijini
 
Ujinga tu( kutokujua mbinu sahihi), watu sijui lini watajifunza kubeba majukumu yao.

Ni ujamaa na kujitegemea, KUJITEGEMEA. Sio utegemezi wa kodi za wengine ndio zikatatue matatizo binafsi ya watu.

Kodi zijenge vitu vya jamii kiujumla wake. Kama mahospitali na mabarabara na mawasiliano. Sio kulipia bili binafsi za matatizo binafsi ya watu.

Mtakaobisha naomba niwakumbusje kuwa kikanuni (in principle) HAKI ndio huinua taifa, endeleeni kujidanganya kuwa HURUMA zitaliinua taifa. Hurumahuruma zikizidi zitalididimiza zaidi taifa zaidi. Tafuneni si mna akili.
Una maana kila mtu abebe msalaba wake mwenyewe, basi bunge lisitishe mjadala wa bima kwa wote.
 
Rubbish, kwanini madini yasigharamie?
Acha madini, zile pesa wamewawekea wake wa wastaafu za nini sasa? Ujue hii nchi ina vituko sana? Yaani kama huwa hawakai vikao wakaangalia haya mambo.

Hali ya mtaa sio nzuri kabisa, tunakamua raia kuhudumia vitu visivyo na msingi kabisa, Rais anajengewa nyumba, maposho, bima, mafuta, ulinzi n.k bado haitoshi na wake zao nao wameona wale maisha kwa kodi hizi hizi

Baadae tunakaa tunaulizana, bima ya Afya pesa tunatoa wapi, tunaangalia kule kule kwenye matozo, yakipungua wizara ya Fedha itaweka tena tozo zingine watasema zilizopo zinalipia bima ya Afya. shida sana aisee hii bongo.
 
Acha madini, zile pesa wamewawekea wake wa wastaafu za nini sasa? Ujue hii nchi ina vituko sana? Yaani kama huwa hawakai vikao wakaangalia haya mambo.

Hali ya mtaa sio nzuri kabisa, tunakamua raia kuhudumia vitu visivyo na msingi kabisa, Rais anajengewa nyumba, maposho, bima, mafuta, ulinzi n.k bado haitoshi na wake zao nao wameona wale maisha kwa kodi hizi hizi

Baadae tunakaa tunaulizana, bima ya Afya pesa tunatoa wapi, tunaangalia kule kule kwenye matozo, yakipungua wizara ya Fedha itaweka tena tozo zingine watasema zilizopo zinalipia bima ya Afya. shida sana aisee hii bongo.
Jamaa wanawaza kukamua wananchi pekee badala ya kupunguza matumizi ya anasa
 
Akiongea Bungeni leo Hii, kipindi anasasilisha mswaada Huo Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Amesema kwamba vyanzo hivyo vitatumika kugharamia Wasio na uwezo wa malipo ya Bima hiyo..

Sikiliza hapa chini..



Screenshot_20231101-153021.png
 
Nilidhani serikali ingehamisha na kuacha kabisa fedha za matumizi ya anasa kununulia magari ya kifahari, na zingekuwa namba mmoja sasa ziende kugharamia bima ya afya, madawa na vifaa tiba badala ya mabilioni ya shilingi kununulia V8 kwa viongozi wasiozidi 700.
Hiyo haiwezekani mkuu 😅😅
Hiyo ni sawa na kuwachinja wakiwa hai
 
Maeneo mengine ya ziada baada ya kuacha kabisa manunuzi ya V8 gari za kifahari, ni kupunguza fedha za kila mwaka za semina, safari, makongamano ya ndani ya nchi na ya nje ya nchi ili ziende kutoa huduma za afya kwa mamilioni ya watanzania :

Mfano :
Fedha za marupurupu, per diem safari kwenda Semina na mafunzo kwa vigogo

Kati ya fursa hizo, nafasi za
mafunzo 67 ni za mafunzo ya muda mrefu kutoka Jamhuri ya Watu wa China, nafasi 24 kutoka Serikali ya Korea na nafasi za mafunzo 125 ni za mafunzo ya muda mfupi kutoka Serikali ya Korea, Malaysia, Thailand na China;

(xxxi) Utoaji wa mafunzo elekezi kwa Viongozi 59 ambao ni Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa mikoa ya Tanzania Bara umeratibiwa ili kuwajengea uwezo katika
usimamizi na utoaji wa maamuzi ya
kimkakati;
(xxxii) Usimamizi wa Mikataba ya Ushirikia....

Soma zaidi :
Parliament of Tanzania
https://www.parliament.go.tz › ...PDF
ofisi ya rais, menejimenti ya utumishi wa umma na utawala

https://www.parliament.go.tz/uploads/budgetspeeches/-document.pdf
23 Apr 2022 — Muungano wa Tanzania na Viongozi wengine. Page 42. 41. Wakuu wa Kitaifa


JUZI DC WA GEITA ALILALAMIKIA SAFARI ZA VIONGOZI, PENGINE MAFUNZO KUPITIA ONLINE, ZOOM MICROSOFT CONFERENCE N.K YAKAZIWE BADALA YA KUSAFIRI

DC Geita: TAKUKURU chunguzeni safari za Mkurugenzi kwenda China,


View: https://m.youtube.com/watch?v=eldlxJWLrGk
 
Ummy hajajiandaa kikamilifu na Hili Swala linaweza kuja kumtoa kwenye ramani ya Siasa

Uchumi wa Dunia unakwenda kuyumba sana na purchasing power ya individuals itaporomoka mno so hivyo vyanzo vyake siyo reliable
 
Madogo yanawashinda wanakimbilia makubwa. Kwanza watu waliopo kwenye sector rasmi ni wangapi?. Hawazidi milioni kumi. Kwa hivyo watu milioni kumi watawasaidia watu millioni arobaini.
 
Back
Top Bottom