Changer 22
Member
- Jul 29, 2022
- 11
- 5
Muache ulevi kulinda afya zenu.Hapo tutaanza kuuziwa K vant afu 40'000 na bia 5'000 inamana hapo tutaacha ulevi
Una maana kila mtu abebe msalaba wake mwenyewe, basi bunge lisitishe mjadala wa bima kwa wote.Ujinga tu( kutokujua mbinu sahihi), watu sijui lini watajifunza kubeba majukumu yao.
Ni ujamaa na kujitegemea, KUJITEGEMEA. Sio utegemezi wa kodi za wengine ndio zikatatue matatizo binafsi ya watu.
Kodi zijenge vitu vya jamii kiujumla wake. Kama mahospitali na mabarabara na mawasiliano. Sio kulipia bili binafsi za matatizo binafsi ya watu.
Mtakaobisha naomba niwakumbusje kuwa kikanuni (in principle) HAKI ndio huinua taifa, endeleeni kujidanganya kuwa HURUMA zitaliinua taifa. Hurumahuruma zikizidi zitalididimiza zaidi taifa zaidi. Tafuneni si mna akili.
Acha madini, zile pesa wamewawekea wake wa wastaafu za nini sasa? Ujue hii nchi ina vituko sana? Yaani kama huwa hawakai vikao wakaangalia haya mambo.Rubbish, kwanini madini yasigharamie?
Jamaa wanawaza kukamua wananchi pekee badala ya kupunguza matumizi ya anasaAcha madini, zile pesa wamewawekea wake wa wastaafu za nini sasa? Ujue hii nchi ina vituko sana? Yaani kama huwa hawakai vikao wakaangalia haya mambo.
Hali ya mtaa sio nzuri kabisa, tunakamua raia kuhudumia vitu visivyo na msingi kabisa, Rais anajengewa nyumba, maposho, bima, mafuta, ulinzi n.k bado haitoshi na wake zao nao wameona wale maisha kwa kodi hizi hizi
Baadae tunakaa tunaulizana, bima ya Afya pesa tunatoa wapi, tunaangalia kule kule kwenye matozo, yakipungua wizara ya Fedha itaweka tena tozo zingine watasema zilizopo zinalipia bima ya Afya. shida sana aisee hii bongo.
Mkuu mimi sio nabii, ila si wamesema haya matozo yatalipia bima, mbeleni utasikia hayatoshi, wata impose mapya na watakaoumia ni wananchi. Tutakumbushana baadaeJamaa wanawaza kukamua wananchi pekee badala ya kupunguza matumizi ya anasa
Upo sahihi mkuu tuna utawala wa hovyo snMkuu mimi sio nabii, ila si wamesema haya matozo yatalipia bima, mbeleni utasikia hayatoshi, wata impose mapya na watakaoumia ni wananchi. Tutakumbushana baadae
madini yatagharamia per diem na safari za viongoziRubbish, kwanini madini yasigharamie?
Kiinua mgongo cha wenza. Rubbishmadini yatagharamia per diem na safari za viongozi
Hiyo haiwezekani mkuu 😅😅Nilidhani serikali ingehamisha na kuacha kabisa fedha za matumizi ya anasa kununulia magari ya kifahari, na zingekuwa namba mmoja sasa ziende kugharamia bima ya afya, madawa na vifaa tiba badala ya mabilioni ya shilingi kununulia V8 kwa viongozi wasiozidi 700.
Hapana serikali inataka kuturudisha kwenye mambo ujima tafadhail tusifikie huko ,bima ni swala la mtu binafsiAkiongea Bungeni leo Hii, kipindi anasasilisha mswaada Huo Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Amesema kwamba vyanzo hivyo vitatumika kugharamia Wasio na uwezo wa malipo ya Bima hiyo..
Sikiliza hapa chini..
View attachment 2800240
View attachment 2800242