Ni nchi ya wehu
 
Hilo la makampuni ndio nilikuwa nalitaka , yaani nafanya miamala afu pesa kubwa wanachukua hao makampuni majizi yanatuibia vifurushi,dkk yaani nilikuwa willing pesa yangu iende serikali sio kwa hao wezi.
 
Huyu maza angeweka tozo ya shilingi 500 kila muamala ilikuwa tosha kabisa badala ya hii biashara yao na Mwigulu
Huu ujuha haupo,kodi unatozwa kadiri ya matumizi yako,hiyo ndio fair sio upuuzi unaousemea
 
Issue "tozo" haikubaliki! Hii ni unyonyaji kwa watu wanyoge. Utaratibu wa kodi uendelee, ila tozo by all discriptions haikubaliki. Toka nyerere mpaka mwendazake maendeleo makubwa yamefanyika kwa utaratibu wa kodi. Hili la TOZO hapana hapana. No NO NONo NO NO!!!
 
Naona unavizia teuzi
 
Kweli akili ni Nywele, Na Common Sense sio Common

Mfano mtu achukue 200 alafu akurudishie mtu 90 utamuona wa maana ?
Wakati ukichunguza ni kwamba huyo mtu hapo atakuwa amechukua 110.... In short huku ni kucheza na akili za watu
 
Hiyo ni income unayo na anapokea so kodi lazima.Kwani remittances huwa hazikatwi kodi?

Tuma pesa kwa ndugu yako yoyote nje ya nchi uone kama hakatwi kodi both sides afu uje utuambie ni biashara gani umefanya.

ATM unapokatwa huwa ni biashara gani umefanya?
 
Nikiona taarifa za huyu bibi nashikwa na hasira
 
Download app hutotumia gharama zaidi ya MB zako
 
1. Kupunguza tozo za miamala ( e-money) kwa 30%

2. Kushawishi makampuni ya e-money na wao kushusha makato yao kwa 10%,

3. Kuendelea kuwa msikivu kwa kushughulikia kero za wananchi kwa haraka,
Ameenda kuzijaza kwenye mafuta
 
Shida mfumko wa bei kutokana na tozo na kodi za ajabu ajabu kwa watu wasio na uhakika wa chakula bora, makazi bora, access ya huduma nzuri za afya, maji n.k.

Chama kile kile, serikali ile ile imeshindwa kuwawezesha wananchi kuwa walipa kodi wazuri kwa kuwasogezea huduma nzuri na za uhakika, kuwawezesha kujenga nyumba nzuri kwa gharama nafuu.

Tuna migodi, mbuga za wanyama, maeneo makubwa ya kulima, ila CCM na serikali yake imekuwa chukua chako mapema tangu uhuru. Magufuli kajaribu kwa kiasi chake kulisukuma gurudumu kwa kujenga miundo mbinu ya kimkakati kama vile bwawa la Nyerere, SGR, kusambaza umeme kwa kiwango kikubwa, kusogeza maji kwa wananchi n.k.

Ila awamu ya sita imekuja kutupola vijisenti kwa jina la tozo uzalendo. Kama ni uzalendo kweli mshahara wa rais, wabunge si ndio ulitakiwa uwe mstari wa mbele kutoa kodi za uzalendo halafu mwananchi ndio aje kwenye solidarity line kwa kutoa japo Sh. 20 katika elfu moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…