Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Acha uongoz na wewe, ukitoa kwenye ATM wanakata kwa muamala na siyo wingi wa pesaKodi haitozwi hivyo kwamba kila muamala ni 500, kodi lazima iwe na usawa yule mwenye kidogo alipe kidogo na mwenye kikubwa alipe kikubwa
Tozo kwenye miamala siongelei kwenye talktime (ingawa hata huko tozo ilikuwepo kama kodi) kwenye miamala kulikuwa na kodi lukuki kabla ambazo bado zipo, kodi ya zuio, vat n.k. (kubadilisha majina tuzo, kodi, n.k.) haibadilishi kwamba huo ni utozajiKwa hiyo unataka kutuaminisha kwamba tozo zilikuwepo tokea awali kabla ya ubunifu wa comrade zungu? au unataka kutuingiza chaka.....
500 nyingi sana! Aweke Tsh 100 mtu wala haiwazi kabisaHuyu maza angeweka tozo ya shilingi 500 kila muamala ilikuwa tosha kabisa badala ya hii biashara yao na Mwigulu
Ndo ujinga niusemao huu... HIVI KWANI ALIYEPANDISHA NI NANI HADI IONEKANE ANAYESHUSHA NI MSIKIVU..!?MAMBO MATATU ALIYOYAFANYA RAIS SAMIA KWENYE TOZO ZA E-MONEY,
___________________________
1. Kupunguza tozo za miamala ( e-money) kwa 30%
2. Kushawishi makampuni ya e-money na wao kushusha makato yao kwa 10%,
3. Kuendelea kuwa msikivu kwa kushughulikia kero za wananchi kwa haraka,
NB, Hili punguzo linamaana gani ?!
Katika kila shilingi tuliyokatwa awali ni senti 60 tu ndio itachukuliwa na mwanachi Mama amemrudishia|amembakishia senti 40 katika kila muamala anaofanya,
Kama awali ulikatwa Tshs 10,000 Leo utakatwa Tshs 6,000 tu huku Tshs 4,000 Mama akiirudisha|akiibakisha kwako.
...Kazi iendelee | Mama ni habari nyingine ...View attachment 1919029
Serikali inachukua vat ya 18% ili kuleta usawa hayo mengine ni ya benki husikaAcha uongoz na wewe, ukitoa kwenye ATM wanakata kwa muamala na siyo wingi wa pesa
Hata mia 5 mkuu siyo mbaya sn kwa siku wataingiza zaidi ya 2B500 nyingi sana! Aweke Tsh 100 mtu wala haiwazi kabisa
Inaanza kutumika lini?MAMBO MATATU ALIYOYAFANYA RAIS SAMIA KWENYE TOZO ZA E-MONEY,
___________________________
1. Kupunguza tozo za miamala ( e-money) kwa 30%
2. Kushawishi makampuni ya e-money na wao kushusha makato yao kwa 10%,
3. Kuendelea kuwa msikivu kwa kushughulikia kero za wananchi kwa haraka,
NB, Hili punguzo linamaana gani ?!
Katika kila shilingi tuliyokatwa awali ni senti 60 tu ndio itachukuliwa na mwanachi Mama amemrudishia|amembakishia senti 40 katika kila muamala anaofanya,
Kama awali ulikatwa Tshs 10,000 Leo utakatwa Tshs 6,000 tu huku Tshs 4,000 Mama akiirudisha|akiibakisha kwako.
...Kazi iendelee | Mama ni habari nyingine ...View attachment 1919029
Mafuta yanapanda duniani kote sawa, sasa serikali ndo iongeze na makodi yao kupitia mwanya huu na kuongeza mizigo mingine ya kodi kupitia mitandao ya simu.Usitukane fuatilia bei duniani ni kiasi gani sasa hivi na usafirishaji bei imeongezeka hivyo bei inapanda automatically
Kweli kabisa mkuu, hatuingizi chochote sisi hadi tukatwe iyo kodi. Makampuni ya simu ndo yangebanwa mbavu sio sisi tena.Kumtumia bibi yako pesa kijijini hapo unakuwa umefanya biashara gani na umetengeneza faida kiasi gani ili ukatwe kodi. Kimsingi makampuni ya simu ndo yanayofanya biashara kwenye hizi transactions maana wanakata kiasi cha pesa. Sasa hii kodi tunayokatwa na serikali ambayo imebatizwa jina la tozo mantiki yake ni ipi hasa......waache kulaghai watu kwa ujanja ujanja, eti tumepunguza tozo kwa 30%...
Hii tozo si inalipwa kwa range yaani so watu wenye kipato tofauti kwenye hiyo range wanalipa sawa tofauti na VATKodi haitozwi hivyo kwamba kila muamala ni 500, kodi lazima iwe na usawa yule mwenye kidogo alipe kidogo na mwenye kikubwa alipe kikubwa