Tozo za miamala : Wananchi wajibu mapigo waamua kusafirisha pesa zao wenyewe

Tozo za miamala : Wananchi wajibu mapigo waamua kusafirisha pesa zao wenyewe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Dawa ya moto ni moto , Hata kama ni hatari lakini hakuna jinsi .

Bora_kuzipeleka_tu.jpg
 
Usimpangie mtu mzima namna ya kuishi.
usishindane na teknolojia utaumia wewe mku.
kubali yaishe utakuja kuuwawa na majambazi buree eti kwa ajili ya kukwepa kukatwa sh.1500 au 2500!!!
sasa kweli hiyo ni akili?!
Just live your life. Wewe kama umeona hayo makato ni madago, mwenzio kwa hesabu zake kaona ni makubwa kutokana na miamala anayofanya.
 
Mm nimenunua shuka la elfu 5 na daftari za elfu 6 nikaweka mil 2 zangu humo nikafunga vizuri halafu nimetuma kama kifurushi (parcel) kijijini kwetu kwa basi. Wenye basi wamenitoza elfu 8 tu na zimefika salama kabisa.

Nilipaswa kupotezaa 64,000/= lkn kwa njia hii nimetumia 19,000/= tu nimeokoa hela nyingi Sana.
 
Back
Top Bottom