Tozo za miamala : Wananchi wajibu mapigo waamua kusafirisha pesa zao wenyewe

Tozo za miamala : Wananchi wajibu mapigo waamua kusafirisha pesa zao wenyewe

usishindane na teknolojia utaumia wewe mku.
kubali yaishe utakuja kuuwawa na majambazi buree eti kisa ulikuwa unakwepa kukatwa sh.1500 au 2500!!!
sasa kweli hiyo ni akili?!
Jamani mbona harusi, kitchen party na sherehe nyingine tunachangia. Uzalendo na mshikamano wa harusi upo lakini wa maendeleo ya nchi hakuna! Ajabu kubwa.
 
Mm nimenunua shuka la elfu 5 na daftari za elfu 6 nikaweka mil 2 zangu humo nikafunga vizuri halafu nimetuma kama kifurushi (parcel) kijijini kwetu kwa basi. Wenye basi wamenitoza elfu 8 tu na zimefika salama kabisa.

Nilipaswa kupotezaa 64,000/= lkn kwa njia hii nimetumia 19,000/= tu nimeokoa hela nyingi Sana.
Shida yote hiyo ya nini. Poor serving strategy
 
Haijawahi fedha kama fedha ikawa mali au bidhaa,ndiyo maana mahali pengi miamala inayohusiana na fedha husamehewa kodi.
Kimsingi bado ni mapema mno kulalamikia kodi hizi bila kuona athari zake tuone kwanza utekelezaji wake mwaka huu wa fedha faida na hasara zake.lets wait &see
 
Back
Top Bottom