kitowowoti
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 756
- 510
Haijawahi fedha kama fedha ikawa mali au bidhaa,ndiyo maana mahali pengi miamala inayohusiana na fedha husamehewa kodi.Vijana wa CHADEMA kwa mihemkoooo🤣🤣🤣
Pesa zenyewe ni mali ya serikali hiyo hiyo unayojifanya unaikwepa
😆😆😆 Pesa haijawahi kukosa mvuto .Mbona unawakaribisha trafiki na wao watoze kodi zao mkuu, Erythro!
Lakini hii ni pesa? Haina mvuto kabisa kwa kuiangalia ilivyo wekwa hapo!
Hutumi miamala kama tufanyavyo mkuu , hizi gharama si za kitoto , leo nimelipa laki unusu kwa watu 10 tofauti kupitia Tigo pesa , kila niliyemtumia kwa wakala wa karibu yake nimelimwa 6,180 , hii zidisha mara 10 ni zaidi ya elfu 60 , kabla ya hii ilikuwa almost 36,000 tu , na haya ni malipo nafanya kila baada ya wikiusishindane na teknolojia utaumia wewe mku.
kubali yaishe utakuja kuuwawa na majambazi buree eti kisa ulikuwa unakwepa kukatwa sh.1500 au 2500!!!
sasa kweli hiyo ni akili?!
HakikaWatawala wamelewa madaraka na wanatenda kwa utashi wao na sio kwa matakwa ya wananchi
Ngoma ikivuma sana.....Hakika
Kwa hiyo hizo tozo mmeshirikiana na majambazi kuzitengenezausishindane na teknolojia utaumia wewe mku.
kubali yaishe utakuja kuuwawa na majambazi buree eti kisa ulikuwa unakwepa kukatwa sh.1500 au 2500!!!
sasa kweli hiyo ni akili?!
😆😆😆Kwa hiyo hizo tozo mmeshirikiana na majambazi kuzitengeneza
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Bora hii wizara angempa mchaga aisee huyu msingida na pesa wapi na wapiMjinga mmoja aliwah kusikika akisema atakusanya kodi kisayansi.ndio madhara ya kuwapa vilaza wizara.hapo ndio unapata tofauti kubwa kati ya Elimu na akili.
Na chenji imebaki hongera kwa ubunifuMm nimenunua shuka la elfu 5 na daftari za elfu 6 nikaweka mil 2 zangu humo nikafunga vizuri halafu nimetuma kama kifurushi (parcel) kijijini kwetu kwa basi. Wenye basi wamenitoza elfu 8 tu na zimefika salama kabisa.
Nilipaswa kupotezaa 64,000/= lkn kwa njia hii nimetumia 19,000/= tu nimeokoa hela nyingi Sana.
Hii mpyaTunaambiwa ni kodi ya Uzalendo....
🤣👍👍usishindane na teknolojia utaumia wewe mku.
kubali yaishe utakuja kuuwawa na majambazi buree eti kisa ulikuwa unakwepa kukatwa sh.1500 au 2500!!!
sasa kweli hiyo ni akili?!