JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Mnawaweza?yanga walishangilia sana ila mazembe ya sasa ni mbovu
mkuu umewaza sahihi timu nyingne nazo zimeimarikaMazembe ya sasa ni mbovu, au timu zingine nazo zimeimarika? Mbona mnaangali upande wa ubovu na kuacha kuangalia upande wa wapinzani wao kuwa ni bora. Msimu ulipita hawa Tp Mazembe walicheza nusu fainali ya michuano hiyo hiyo.
Watu wanakariri tu majina makubwa, saivi soka la Africa limebadilika. Timu nyingi zisizo na majina zimeimarika na kuwa bora.mkuu umewaza sahihi timu nyingne nazo zimeimarika
Kwa TP Mazembe ni kushuka kiwango na wala siyo kuimarika kwa vilabu vingine. Fikiria timu bado ina Thomas Ulimwengu ambae hata hapa kwetu hawezi pata namba Mbeya city lakini wao ni bonge la mchezajiWatu wanakariri tu majina makubwa, saivi soka la Africa limebadilika. Timu nyingi zisizo na majina zimeimarika na kuwa bora.
Timu zingine kuimarika ndio kumefanya Mazembe waonekane wabovu?Wangekuwa kwenye kiwango chao cha kawaida wangeleta upinzani.Kutolewa na Vipers kwa kushindwa kufunga hata goli moja ni dalili kwamba wameshuka kiwango.Mazembe ya sasa ni mbovu, au timu zingine nazo zimeimarika? Mbona mnaangali upande wa ubovu na kuacha kuangalia upande wa wapinzani wao kuwa ni bora. Msimu ulipita hawa Tp Mazembe walicheza nusu fainali ya michuano hiyo hiyo.
Ulimwengu yupo kwenye first eleven ya TP Mazembe?Kwa TP Mazembe ni kushuka kiwango na wala siyo kuimarika kwa vilabu vingine. Fikiria timu bado ina Thomas Ulimwengu ambae hata hapa kwetu hawezi pata namba Mbeya city lakini wao ni bonge la mchezaji
Soma ulichokiandika kwanza, timu zikiumarika maanake hata ubora na viwango vyao lazima iongezeke. Viper ilyomtoa TP Mazembe iikuwa ni timu iliyoimarika kumbuka wameuza wachezaji wangapi hao Vipers? Na Simba ilichukua hadi kocha wao.Timu zingine kuimarika ndio kumefanya Mazembe wawe wabovu.Kutolewa na Vipers kwa kushindwa kufunga hata goli moja ni dalili kwamba wameshuka kiwango.
Hii sio Mazembe ya old days.Ilikuwa nadra sana kufungwa Lubumbashi.