TP Mazembe hamna kitu, yapokea kipigo kingine ikiwa nyumbani kwao

TP Mazembe hamna kitu, yapokea kipigo kingine ikiwa nyumbani kwao

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
TP Mazembe imeendelea kufanya vibaya katika Kombe la Shirikisho Afrika, ikiwa nyumbani imefungwa magoli 2-0 dhidi ya US Monastir ya Tunisia.

Mechi inayofuata ya Kundi D ni Real Bamako ya Mali dhidi ya Yanga.
D.JPG
 
Mazembe ya sasa ni mbovu, au timu zingine nazo zimeimarika? Mbona mnaangali upande wa ubovu na kuacha kuangalia upande wa wapinzani wao kuwa ni bora. Msimu ulipita hawa Tp Mazembe walicheza nusu fainali ya michuano hiyo hiyo.
mkuu umewaza sahihi timu nyingne nazo zimeimarika
 
Watu wanakariri tu majina makubwa, saivi soka la Africa limebadilika. Timu nyingi zisizo na majina zimeimarika na kuwa bora.
Kwa TP Mazembe ni kushuka kiwango na wala siyo kuimarika kwa vilabu vingine. Fikiria timu bado ina Thomas Ulimwengu ambae hata hapa kwetu hawezi pata namba Mbeya city lakini wao ni bonge la mchezaji
 
Mazembe ya sasa ni mbovu, au timu zingine nazo zimeimarika? Mbona mnaangali upande wa ubovu na kuacha kuangalia upande wa wapinzani wao kuwa ni bora. Msimu ulipita hawa Tp Mazembe walicheza nusu fainali ya michuano hiyo hiyo.
Timu zingine kuimarika ndio kumefanya Mazembe waonekane wabovu?Wangekuwa kwenye kiwango chao cha kawaida wangeleta upinzani.Kutolewa na Vipers kwa kushindwa kufunga hata goli moja ni dalili kwamba wameshuka kiwango.
Hii sio Mazembe ya old days.Ilikuwa nadra sana kufungwa Lubumbashi.
 
Kwa TP Mazembe ni kushuka kiwango na wala siyo kuimarika kwa vilabu vingine. Fikiria timu bado ina Thomas Ulimwengu ambae hata hapa kwetu hawezi pata namba Mbeya city lakini wao ni bonge la mchezaji
Ulimwengu yupo kwenye first eleven ya TP Mazembe?
 
Timu zingine kuimarika ndio kumefanya Mazembe wawe wabovu.Kutolewa na Vipers kwa kushindwa kufunga hata goli moja ni dalili kwamba wameshuka kiwango.
Hii sio Mazembe ya old days.Ilikuwa nadra sana kufungwa Lubumbashi.
Soma ulichokiandika kwanza, timu zikiumarika maanake hata ubora na viwango vyao lazima iongezeke. Viper ilyomtoa TP Mazembe iikuwa ni timu iliyoimarika kumbuka wameuza wachezaji wangapi hao Vipers? Na Simba ilichukua hadi kocha wao.
 
Back
Top Bottom