TP Mazembe rasmi waaga mashindano ya Klabu Bingwa CAF, Yanga SC na hesabu za Calculator kufuzu Robo Fainali

Hesabu bado ziko wazi tusiwe watabiri njaa Uto Mechi muhimu kabisa ni ya Leo ni lazima ashinde hamna hamna apate draw kuweka matumaini kipigo kwao itakuwa shughuli kwishnei na tunatangaza msiba ila mwili utakaa mortuary mpaka undertaker MS Alger atakaputua Kwa Mkapa kukamikisha Mazishi.

Uwezo wanao uamuzi ni wao.
 
UTO anapita kwenye hili kundi akiweza kupata sare ya aina yoyote kwenye mechi ya kesho.
Kupata ushindi wa 2-0, 3-1 ... katika mchezo wa mwisho kwa Mkapa uwezo huo upo.
 
🤣🤣🤣 dah!
 
Wewe ulikuwepo huko kambini ???
 
Matokeo ya mechi ya kesho ndiyo yataamua kama yanga anaendelea au la.
 
upo nao kambini sio?
 
Nani alikipandisha mtini hicho kilio hadi wakiangue?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…