Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Jipe moyoNi kabisa sasa kwanini mfanye kalikuleta ziadimike mpira na kalikuleta vinahusiano gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jipe moyoNi kabisa sasa kwanini mfanye kalikuleta ziadimike mpira na kalikuleta vinahusiano gani?
Watapigwa kama ngoma!Utopolo 🐸 🐸 🐸 wakishinda jiandae kutupiwa mawe
Mimi sina wasi wasi Yanga wanapita wana mzuka sana sasa hivi na mpira ni hali ya wachezaji kwa wakati huo hata kama wana ubora wakiwa mzuka upo chini kama mechi za mwanzo ingekua tatizo..Mkivuka kiunzi cha kesho mnaweza mkatoboa
Sawa mtashinda kwa MzukaMimi sina wasi wasi Yanga wanapita wana mzuka sana sasa hivi na mpira ni hali ya wachezaji kwa wakati huo hata kama wana ubora wakiwa mzuka upo chini kama mechi za mwanzo ingekua tatizo..
Tuliza komwe hilo uendelee na mahesabu...Rage na Mangungu wanayajua madunduka yao ya ngada FC
Kundi rahisi limgeuka shubiri!Jipe moyo
Nilikuwa Retreat.We Mzee ulipotelea wapi
🤣🤣🤣 dah!Wakiwa kambini huku wakiomba dua na kuchoma ubani wengine wakiimba tenzi za rohoni, usinipite mwokozi kuiombea dua TP Mazembe iifunge MC Alger mambo yakaenda kinyume
Mmoja wa viongozi wa Yanga aliangua kilio kulichoambatana na kwikwi akijua safari imeishia hapo na morali ya wachezaji imepotea ghafla.
Tuwaombee
Kabisa kiunzi cha Kesho ni kirefu balaa. Ile mijamaa mijanja sana. Inakuacha ujae kwenye mfumo wao halafu yakija kwako mara mbili basi moja lazima ulie. Hawajaongoza kundi kwa bahati mbaya🤣🤣🤣🤣Mkivuka kiunzi cha kesho mnaweza mkatoboa
Wewe ulikuwepo huko kambini ???Wakiwa kambini huku wakiomba dua na kuchoma ubani wengine wakiimba tenzi za rohoni, usinipite mwokozi kuiombea dua TP Mazembe iifunge MC Alger mambo yakaenda kinyume
Mmoja wa viongozi wa Yanga aliangua kilio kulichoambatana na kwikwi akijua safari imeishia hapo na morali ya wachezaji imepotea ghafla.
Tuwaombee
upo nao kambini sio?Wakiwa kambini huku wakiomba dua na kuchoma ubani wengine wakiimba tenzi za rohoni, usinipite mwokozi kuiombea dua TP Mazembe iifunge MC Alger mambo yakaenda kinyume
Mmoja wa viongozi wa Yanga aliangua kilio kulichoambatana na kwikwi akijua safari imeishia hapo na morali ya wachezaji imepotea ghafla.
Tuwaombee
Bila shaka watakua ni wananch maan akil zao wanazijua wenyeweAliyewaita mbumbumbu mashabiki wa aina hii, ajengewe mnara wa kumbukumbu.
Nani alikipandisha mtini hicho kilio hadi wakiangue?Wakiwa kambini huku wakiomba dua na kuchoma ubani wengine wakiimba tenzi za rohoni, usinipite mwokozi kuiombea dua TP Mazembe iifunge MC Alger mambo yakaenda kinyume
Mmoja wa viongozi wa Yanga aliangua kilio kulichoambatana na kwikwi akijua safari imeishia hapo na morali ya wachezaji imepotea ghafla.
Tuwaombee
Nilikuwa Retreat.
Mwenzake ni YANGAMazembe atulie ni wiki mbili tu zimebaki za kumjua mwenzake.
Yeye hatma yake imewahi kujulikana kuna mmoja bado.