Nishaandaa Buku mbili yangu hapa nikate tiketi ili kesho nikaone Soka la ukweli toka kwa kina Msuva huku tukimnyamazisha Uganda.haha naona mambo ya jino kwa jino: kesho anacheza taifa stars sio simba mtani msije mkajichanganya tafadhar
Haaaaa haaaaKesho ndio siku ya kuutumia MKANDA MWEUSI ''black belt'' yangu niliochukua nchini Polland. Navaa jezi ya TP Mazembe na kukaa jukwaa la Yanga, ole wake mtu aniguse
Kwa pesa hizi za moo sijui kama atasalimika jukwaa la buku mbili utaliweza mtani? huwa sio pouwaNishaandaa Buku mbili yangu hapa nikate ili tiketi kesho nikaone Soka la ukweli toka kwa kina Msuva huku tukimnyamazisha Uganda.
Yah. Kule ndio furesh Mtani ili kuwazomea vizuri wapinzani. 😀Kwa pesa hizi za moo sijui kama atasalimika jukwaa la buku mbili utaliweza mtani? huwa sio pouwa
Ruge alisema ogopa sana Mungu na teknolojia.Haaaaa haaaa
Haha haha cmchezo hiyo ni manyung'unya manyang'anyiRuge alisema ogopa sana Mungu na teknolojia.
Nami naongezea Ogopa sana JF.
Kaburi likifukukuliwa habaki MTU.
Kama bado una hiyo Jersey muazime shabiki wa Yanga
Aiseee swahiba ila Simba ikifanya vizuri timu za Tanzania zinaongezekaHii lugha haipandi Swahiba. Naomba tafsiri tafadhali. [emoji12]
Ni sawa Swahiba ila habari ya uzalendo isahauni kabisaaaa. Mupitage tu tuzidi kuzichanga Points sababu si za kwenyu pekeyenyu hata na sisi zetu zimo.Aiseee swahiba ila Simba ikifanya vizuri timu za Tanzania zinaongezeka
Na nyinyi angalau mtapata viti maalumu
Shadeeya
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutapambana na hali zetu nyie hamuwezi kutusaidia chochoteTunaanzaje sasa wakati hapa kila mtakaloliongea tutaona ni sawa na bure sababu hata na nyie sio wasafi.
Mkuu uko sahihi.Kila upande unaombea upande mwingine mvua isinyeshe wafe njaa,na ikinyesha yawe mafuriko😀Haitakaa kutokea Mkuu sababu kila mmoja huwa ana kijiba kwa mwenzie.
Nyie mtapata viti maalumHuu ndio ukweli Mtani. Hakuna wa kumsaidia mwenzake chochote iwe Simba au Yanga.
😀😀😀 mbona nukta Mkuu?
Hahaa sawa mkuu,Sikinde hao
Maalim kinyasi, maalim gurumo, max, etc.