TP Mazembe tupo pamoja na nyinyi kwa hali na mali hapo kesho

TP Mazembe tupo pamoja na nyinyi kwa hali na mali hapo kesho

Nishaandaa Buku mbili yangu hapa nikate ili tiketi kesho nikaone Soka la ukweli toka kwa kina Msuva huku tukimnyamazisha Uganda.
Kwa pesa hizi za moo sijui kama atasalimika jukwaa la buku mbili utaliweza mtani? huwa sio pouwa
 
Aiseee swahiba ila Simba ikifanya vizuri timu za Tanzania zinaongezeka
Na nyinyi angalau mtapata viti maalumu

Shadeeya

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa Swahiba ila habari ya uzalendo isahauni kabisaaaa. Mupitage tu tuzidi kuzichanga Points sababu si za kwenyu pekeyenyu hata na sisi zetu zimo.
 
Ubaya ubaya tu. Kama mbwai na iwe mbwai. Come on Mazembe [emoji123][emoji123][emoji123]
IMG_20190323_102356_144.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom