Sema hakyaMunguMasikini Simba Ooops Paka, kila mara mnaneng'eneka na timu za watu. Mngekuwa nyie leo ndio mnacheza na TP - Mazembe, ila ndio siyo nyie ni sisi Yanga.
Tanajua mnatamani msijali, tushawalipia, mnajua kulipiwa eeh basi mje kwa wingiiiiii
#teamyangaforever#
tupe update mkuuuMpaka dk hii upepo uko upande wa mazembe .
Ana stress za kutoswa Udc huyo!Hiyo stroke yako haijakuua tu hadi leo bado unaongea? Kama hujafa, kesho ni lazima utakufa baada ya Yanga kuibamiza TP Mazembe.
Naona umewanyoosha kweli kweliNapenda sana hiyo vishabiki vya simba vyote viwe tp(toilet paper)mazembe ili tuvinyooshe zaidi!!!na vya azamu pia
Watalala na viatu leo.Naona umewanyoosha kweli kweli
Mazembe hapana mchezo kabisa..Walidhani wanacheza na ndanda.Watalala na viatu leo.
Mazembe siyo wazembe kweli wamefanya yao na waendelee kufanya yao hata wakienda kwao.TP Mazembe wamefanya yao..
Kwikwikwikwi..Mazembe siyo wazembe kweli wamefanya yao na waendelee kufanya yao hata wakienda kwao.
Povu la nini tena mkuu?ken.ge nyie mbuzi kabisa
akili kama za Jerry aka Jane Muruaken.ge nyie mbuzi kabisa