TP Mazembe waomba kufundishwa football management na Yanga

Sahihi kabisa
 
They have come to share experience
 
Hata wale wengine wanatamani sana kufundishwa Team Management lakini hawataki kusema...waache wafe nalo
 
Wengine tulishasema ni kiasi cha muda tu Yanga kufika katika kilele cha soka Afrika na kila mmoja ataliimba jina letu.
Hahahahaha...Iko hivi kwa Timu kama Tp Mazembe ambayo kiasili ilikua ni timu ya kanisa...pale Lubumbashi haina wanachama wengi kutokana na maisha ya kongo..ila ina mashabiki na wapenzi wengi na hata hivyo kwa idadi ya mashabiki wanazidiwq na mahasimu wao FC Lupopo ..Kwa hesabu za Katumbi kajifunza kupitia yanga ,pamoja ya kuwa na makombe mengi ila hana nguvu kivile ktk mashabiki na wanachama walio sajiliwq ..

Katika sula la wanachama na mashabiki kujisajiri Yanga itawafundisha wengi
 
Haya ni mafanikio ya kipumbafu, kwani utopolo wametumia mda gani kufikia huto tufanikio ulitotuorodhesha hapo?
 
Mazembe haina database kubwa ya wanachama waliosajiliwa ndio kilicho waleta kujifunza hilo ukiacha hayo mengine...pamoja na ukubwa wao Mazembe anazidiwq mashabiki pale lubumbashi na Fc lupopo ..

Mazembe ilikua timu ya kanisa ,baadae wakajitenga wakanunuliwa na Moise ..haina wanachama kivile ingawa ina mashabiki..sasa wanataka kutoka huko


Katika sula la wanachama Yanga inafanya vzr ,watanzania acheni ubishi wenu wa kijinga jinga
 
Naskia pia Yanga wanatawi kule Kongo


Pia Kuna kipindi clip ilitrend ....wakongo wanaomba msaada Kwa eng hersi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…