TP Mazembe waomba kufundishwa football management na Yanga

TP Mazembe waomba kufundishwa football management na Yanga

TANZANIA KUNA WAJINGA WENGI SANA .SASA MAZEMBE ATAJIFUNZA NINI KWA YANGA.??? AU KUJIFUNZA KUHONGA MAREFA.??? MANA YANGA KAZIDIWA KILA KITU NA MAZEMBE
 
Mazembe wamekuja kwa ajili ya usajili tu hakuna la maana zaidi ya hapo,utopolo ni kikundi cha wahuni waliojiorganize tu
 
Haya ni mafanikio ya kipumbafu, kwani utopolo wametumia mda gani kufikia huto tufanikio ulitotuorodhesha hapo?
Lete takwimu za mafanikio ya Makolokolo SC tangu wawe chini ya Mo kwa investment ya miaka mitatu ya awali ulinganishe na timu ya Wananchi ili uepukane na sonona [emoji28]

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Tp mazembe ni wanyenyekevu, Wame wahi kubeba kombe la Africa lakini wameona ni vema kuja kujifunza kwa Yanga . Na sisi Simba SC sio vibaya kujifunza mambo mazuri kutoka kwa Yanga . Kwa current form ya sasa ya Yanga SC , kiukweli wanaonyesha wanaujua mpira . Halafu nilivyo mchunguza Rais wa Yanga SC , nimegundua ana nyota ya Simba .
 
Back
Top Bottom