Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hiyo Tp Mazembe akitoka Moise Katumbi inarudi kanisaniKolo nyamaza tu, ni kama Simba bila mwenye timu mwenyewe MO Dewji, unafikiri pale inabaki nini zaidi ya matangazo ya Mo Extra? 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo Tp Mazembe akitoka Moise Katumbi inarudi kanisaniKolo nyamaza tu, ni kama Simba bila mwenye timu mwenyewe MO Dewji, unafikiri pale inabaki nini zaidi ya matangazo ya Mo Extra? 🤣🤣🤣
Hivi unavyoviita success ni kituko, ukisema hivyo unataka kusema Simba Sc kuchukua PL trophies 4, FA Cups 4, CAFCL & CAFCC quarter finals mara 3 (wakati huo) yaliluwa ni majibu ya uwekezaji?TP Mazembe iliwagharimu muda gani kufikia maendeleo hayo ikiwa kama kampuni?
2021 GSM investment : 2023 Success = CAFCCL Final & 2024 CAFCL Quarter Final with consecutive NBC PL trophies 3 times, FA Cup 2021/2022 & 2022/2023 and continuing to chase FA Cup 2023/2024.
Big investment with a lot success in the short time period.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Andika hiyo namba vizuri ndio tujadiri. Ni 40,000 au 400,000?Mo hakuna anachomiliki pale ni mpigaji tu.kwemye dili la jezi ya 40,0000.utopolo anachukua 1,300.sio upigaji huo?ndo maaana nakwambia utopolo kumetulia sababu kumepona ugonjwa ila ukianza up ya tutajua mengi.
40,000 kuna jezi ya laki 4 wewe?Andika hiyo namba vizuri ndio tujadiri. Ni 40,000 au 400,000?
Mo alisemaMo hakuna anachomiliki pale ni mpigaji tu.kwemye dili la jezi ya 40,0000.utopolo anachukua 1,300.sio upigaji huo?ndo maaana nakwambia utopolo kumetulia sababu kumepona ugonjwa ila ukianza up ya tutajua mengi.
Msitake kufanya ionekane kama Simba Sc haijawahi kunufaika postively na uwekezaji wa MO, au kunufaika ni kufanya vizuri miaka yote? Kama unaamini kunufaika postively ni kushinda makombe siku zote, inamaana hata nyinyi siku ambayo mtakosa itamaanisha GSM ni duskodusko? Inakuwaje mnatoa hoja za kijinga hivi? Shule mlipita kweli?Tunajua hakuna tajiri ngozi nyeupe mjinga akaweka pesa sehemu kusipokuwa na positive return ya pesa aliyowekeza. Ila kuna utofauti kati ya Mo na Gsm. Mmoja ni mmiliki according to maneno yake na ni investors kutokana na shares nyingi alizonazo ingawa mpaka sasa pesa za uwekezaji anaziweka kwa duskodusko wakati mwingine ni mdhamini wa team na ananufaika pia na Yanga.
Wakati Simba Sc anachukua ubingwa 2017 mbele ya mgeni rasmi JPM, alifungwa mechi gani nyingine kwenye ligi tofauti na ile ya mwisho dhidi ya Kagera? Unadhani hapo nyuma alikuwa na unbeaten ngapi?49 unbeaten
Kwa sasa yeye ni mfadhiliGSM ni nani pale utopoloni?mwekezaji,mfadhili,au anasaidia?qna mkatsba na utopo?
1. Gsm ni mfadhili wa Yanga. Anatoa pesa kwa hisani yake lakini lengo likiwa kuhakikisha timu inafanya vizuri ili biashara zake zitangazweGSM ni nani pale utopoloni?mwekezaji,mfadhili,au anasaidia?qna mkatsba na utopo?
Hivi 1,300 inaweza kufika hyo bilioni 1.5 kweli?kwa mwaka? Kwa mauzo gani ya jezi?Kwa sasa yeye ni mfadhili
1. Gsm ni mfadhili wa Yanga. Anatoa pesa kwa hisani yake lakini lengo likiwa kuhakikisha timu inafanya vizuri ili biashara zake zitangazwe
2. Mdhamini wa Yanga kupitia taasisi ya GSM kwa miaka mitano ambapo kila mwaka wanatoa 300M ikiongezeka kwa 10% kila mwaka
Pia Yanga inapata 1.5B kila mwaka kutokana na mauzo ya jezi yanayofanywa na Gsm yakiongezeka kwa 10% ndani ya miaka 5. Hivyo Yanga inapata 2B+ toka kwa Gsm kupitia mauzo ya jezi na udhamini pekee kila mwaka.
Mengine ni kuelezea multipliers effect ya uwepo GSM kwa Yanga
Kwanini aseme anapata hasara kama mafanikioyake ni kiinunua timuMo alisema
Moja ya mafanikio yake ni kuinunua Simba...na makolo hamkukanusha hili
We si ndio umezidisha sifuri? Mbona unakuwa mkali?Andika hiyo namba vizuri ndio tujadiri. Ni 40,000 au 400,000?
Terms za Mkataba hazisemi hicho unachokisema wewe. Na hakuna linaloshindikana hapo na kwa mbeleni inatakiwa iwe zaidi ya hapo.Hivi 1,300 inaweza kufika hyo bilioni 1.5 kweli?kwa mwaka? Kwa mauzo gani ya jezi?
Hayaa.ombeni timu iendelee kufanya vizuri.ili gsm asije vuliwa nguo.ila madudu ya GSM hapo utopolo ni makubwaTerms za Mkataba hazisemi hicho unachokisema wewe. Na hakuna linaloshindikana hapo na kwa mbeleni inatakiwa iwe zaidi ya hapo.
Wajifinze kupambania nafasi ya pili?Wajifunze kwa lipi?hao mazembe wana Lao lingine.waambieni wakwambieni.sio kujifunza.mtoto mdogo kama utopolo uje kumfundisha jayant wa Africa?
Unapoteza muda bure tayari wapo Jangwangi wanachukua madini wewe endelea na ujuaji wakoHivi unavyoviita success ni kituko, ukisema hivyo unataka kusema Simba Sc kuchukua PL trophies 4, FA Cups 4, CAFCL & CAFCC quarter finals mara 3 (wakati huo) yaliluwa ni majibu ya uwekezaji?
Kwahiyo Simba Sc nayo ungesimama kutamba? Sioni inachofanya Yanga Sc au kombe ililobeba Yanga Sc ambalo Simba Sc hijawahi, kilichopo ni swala la kupokezana mafanikio kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.
Mazembe hana cha kujifunza kinachohusu mpira kwa team za Kariakoo. Maana wao hata baada ya kuanguka, iliwachukua mwaka mmoja tu (msimu uliopita) kujipanga na sasa wamerudi kuwa wasumbufu kwenye soka la kimataifa.
Ukiwa mjinga unatumia nguvu kubwa za ujinga kuaminisha watu kuwa kuna ujinga fulani unao wakati ni jambo rahisi kujua ujinga wako.Msitake kufanya ionekane kama Simba Sc haijawahi kunufaika postively na uwekezaji wa MO, au kunufaika ni kufanya vizuri miaka yote? Kama unaamini kunufaika postively ni kushinda makombe siku zote, inamaana hata nyinyi siku ambayo mtakosa itamaanisha GSM ni duskodusko? Inakuwaje mnatoa hoja za kijinga hivi? Shule mlipita kweli?
Hiyo duskodusko haikuonekana wakati Simba Sc inabeba ubingwa wa ligi mara nne, FA 4 na robo fainali kwa mara ya kwanza na nyingine zilizofuata, na hata wewe wakati huo ulikuwa huna ujasiri wa kuja kuiongelea hivi Simba Sc.
Kwa asili ya ujinga wa mashabiki wa kiTz, nakuhakikishia ili kelele zisiwahi kujitokeza inatakiwa Yanga Sc ashinde makombe milele daima, vinginevyo tuombe uhai wa kushuhudia.
Nadhani ungekuja na hoja nyingine yenye mantiki.
Fainali ya kombe la shirikishoHatua ipi mliyofika ambayo simba hajafika?
Na sijakataa kuwa GSM ana madudu na yeye sio malaika ni binadamu mfanyabiashara ambaye anahitaji pesa yake anayoweka sehemu impe matokeo chanya kama ilivyo kwa Mo. Mimi nimejibu kutokana na maswali yako. Ninaamini Gsm pia anaipa Yanga pesa ndogo kutokana na mauzo ya Jezi ila kwa kuwa kuna mengi ana offer nje ya mkataba tunaacha. Na ndio maana kuna swala pa transformation ya timu. Tuombe lifanikiwe lakini lifanikiwe pia kwa SimbaHayaa.ombeni timu iendelee kufanya vizuri.ili gsm asije vuliwa nguo.ila madudu ya GSM hapo utopolo ni makubwa
Ni Yanga pekee Kwa Africa...ilitaka kuvunja record ya arsenal....49 unbeatenWakati Simba Sc anachukua ubingwa 2017 mbele ya mgeni rasmi JPM, alifungwa mechi gani nyingine kwenye ligi tofauti na ile ya mwisho dhidi ya Kagera? Unadhani hapo nyuma alikuwa na unbeaten ngapi?
Nilisikia unasoma Chuo Kikuu ila kwa hizi akili, napata shida na ninaihurumia sana Tz.