Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga na GSM walilimeza Desa la La liga na la Saville...achilia mbali somo la Senzo , sasa nao wameanza kufundisha wengine....Maybe
Tunafuraha kubwa kufika hapa, ni heshima kubwa kwetu na tumefurahi kwa mapokezi mazuri mliyotupatia, tumekuja hapa kujifunza mambo mbalimbali kuhusu Yanga na kutengeneza urafiki mzuri utakaoweza kuvisaidia vilabu vyetu hivi viwili bora Afrika Mashariki na kati hivi sasaMazembe wamekuja kwa ajili ya usajili tu hakuna la maana zaidi ya hapo,utopolo ni kikundi cha wahuni waliojiorganize tu
Yaaah ni kweli mkuuTp mazembe ni wanyenyekevu, Wame wahi kubeba kombe la Africa lakini wameona ni vema kuja kujifunza kwa Yanga . Na sisi Simba SC sio vibaya kujifunza mambo mazuri kutoka kwa Yanga . Kwa current form ya sasa ya Yanga SC , kiukweli wanaonyesha wanaujua mpira . Halafu nilivyo mchunguza Rais wa Yanga SC , nimegundua ana nyota ya Simba .
Tunafuraha kubwa kufika hapa, ni heshima kubwa kwetu na tumefurahi kwa mapokezi mazuri mliyotupatia, tumekuja hapa kujifunza mambo mbalimbali kuhusu Yanga na kutengeneza urafiki mzuri utakaoweza kuvisaidia vilabu vyetu hivi viwili bora Afrika Mashariki na kati hivi sasaYanga nao watumie muda huu kujofunza toka kwa Mazembe
Kabisa mkuu...acha makolo waendelee na Michezo ya kupasua Nazi njia pandaYanga na GSM walilimeza Desa la La liga na la Saville...achilia mbali somo la Senzo , sasa nao wameanza kufundisha wengine....
Ila safi sana , Simba wawe wabishi hivi hivi
Kolo nyamaza tu, ni kama Simba bila mwenye timu mwenyewe MO Dewji, unafikiri pale inabaki nini zaidi ya matangazo ya Mo Extra? 🤣🤣🤣Je, ni management ndiyo siri pekee ya mafanikio ya timu?
Je, ukiondoa pesa ya GSM kwenye equation ya yanga, yanga itabaki kuwa yanga hii hii?
Kwa maana nyingine bila GSM na pesa ya gsm yanga ni kama tabora united tu.
Kawaida nini? Aliyefuzu kujifunza kwa aliyeshindwa? Maajabu hayaMambo ya kawaida haya mkuu
Kama na viongozi wenu wanaamini hiki ulichoandika kuna uwezekano mkubwa Yanga ataendelea kuwa bingwa miaka mingi mbele. Yanga imekuwa team bora sana kwa sasa katika Uganda wetuHiki ni kichekesho, yani wafundishwe namna ya kutembeza mlungula na kuvunja kihuni mikataba ya wachezaji?
Kama hizo pesa za GSM hazitumiki vizuri kwa kuhakiksha wanapatikana wachezaji wazuri na huduma nzuri basi hata utoe matilioni team haiwezi fanikiwa uwanjani. Kuna jambo la kujifunza hapa toka kwa YangaJe, ni management ndiyo siri pekee ya mafanikio ya timu?
Je, ukiondoa pesa ya GSM kwenye equation ya yanga, yanga itabaki kuwa yanga hii hii?
Kwa maana nyingine bila GSM na pesa ya gsm yanga ni kama tabora united tu.
Hatua ipi mliyofika ambayo simba hajafika?Yanga ni university ya soka
Kwa mtazmo wenu huu Mo hawezi weka zile 20B zake ziliwe na michwa. Ndio maana kaenda kuziwekeza kwenye bonds BOT for 20yrs anawapa dividends ya kila mwaka ya 3B+ kama sehemu ya uwekezaji huku twenty 20B ikibaki inapumua. Halafu anapata space ya matangazo kwenye jezi.Hatua ipi mliyofika ambayo simba hajafika?
Mo mpigaji tu kama GSM.mmetulia sababu timu yenu imepona ugonjwa ila ukianza kujirudia tutajua mengiKwa mtazmo wenu huu Mo hawezi weka zile 20B zake ziliwe na michwa. Ndio maana kaenda kuziwekeza kwenye bonds BOT for 20yrs anawapa dividends ya kila mwaka ya 3B+ kama sehemu ya uwekezaji huku twenty 20B ikibaki inapumua. Halafu anapata space ya matangazo kwenye jezi.
Tunajua hakuna tajiri ngozi nyeupe mjinga akaweka pesa sehemu kusipokuwa na positive return ya pesa aliyowekeza. Ila kuna utofauti kati ya Mo na Gsm. Mmoja ni mmiliki according to maneno yake na ni investors kutokana na shares nyingi alizonazo ingawa mpaka sasa pesa za uwekezaji anaziweka kwa duskodusko wakati mwingine ni mdhamini wa team na ananufaika pia na Yanga.Mo mpigaji tu kama GSM.mmetulia sababu timu yenu imepona ugonjwa ila ukianza kujirudia tutajua mengi
Mo hakuna anachomiliki pale ni mpigaji tu.kwemye dili la jezi ya 40,0000.utopolo anachukua 1,300.sio upigaji huo?ndo maaana nakwambia utopolo kumetulia sababu kumepona ugonjwa ila ukianza up ya tutajua mengi.Tunajua hakuna tajiri ngozi nyeupe mjinga akaweka pesa sehemu kusipokuwa na positive return ya pesa aliyowekeza. Ila kuna utofauti kati ya Mo na Gsm. Mmoja ni mmiliki according to maneno yake na ni investors kutokana na shares nyingi alizonazo ingawa mpaka sasa pesa za uwekezaji anaziweka kwa duskodusko wakati mwingine ni mdhamini wa team na ananufaika pia na Yanga.
GSM ni nani pale utopoloni?mwekezaji,mfadhili,au anasaidia?qna mkatsba na utopo?Tunajua hakuna tajiri ngozi nyeupe mjinga akaweka pesa sehemu kusipokuwa na positive return ya pesa aliyowekeza. Ila kuna utofauti kati ya Mo na Gsm. Mmoja ni mmiliki according to maneno yake na ni investors kutokana na shares nyingi alizonazo ingawa mpaka sasa pesa za uwekezaji anaziweka kwa duskodusko wakati mwingine ni mdhamini wa team na ananufaika pia na Yanga.