Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Kubadilishana uzoefu“Tumepokea ugeni mzito kutoka moja ya Klabu kubwa Barani Afrika, TP Mazembe ya DR Congo ambao wamevutiwa na namna Klabu yetu ya Yanga inavyoendeshwa hivyo wamekuja hapa Tanzania kujifunza mambo mbalimbali kwenye Mfumo wetu wa Mabadiliko ya Uendeshaji" Simon Patrick, Mkurugenzi wa Sheria wa Yanga SC.
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
Je Kuna ukweli kuwa Yanga ndio workshop ya soka hapa Afrika???