johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #41
Lisu naye ni wale wale tu!me nimekuelewa sana,ndo maana walitaka kumuua Lisu mzalendo wa kweli dah ccm bhana
Shujaa wa africaChadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe.
Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza.
Yaani kote TPA, TRA, TASAC, NSSF, PSSSF, Tamisemi BoT Hazina ni vurugu tupu watu wanakwiba tu.
Ndio najiuliza hawa Chadema waliodai wao ni wazalendo na wanapambana na ufisadi kweli kweli, KULIKONI?
Ukinizingua Nitakuzingua!
Hiko chama kishajifia mkuu, unawaonea bure.Chadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe.
Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza.
Yaani kote TPA, TRA, TASAC, NSSF, PSSSF, Tamisemi BoT Hazina ni vurugu tupu watu wanakwiba tu.
Ndio najiuliza hawa Chadema waliodai wao ni wazalendo na wanapambana na ufisadi kweli kweli, KULIKONI?
Ukinizingua Nitakuzingua!
Sasa watumishi na sgr wapi na wapi bwashee?!Ni Mali ya wachangiaji(Watumishi).
Chadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe.
Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza.
Yaani kote TPA, TRA, TASAC, NSSF, PSSSF, Tamisemi BoT Hazina ni vurugu tupu watu wanakwiba tu.
Ndio najiuliza hawa Chadema waliodai wao ni wazalendo na wanapambana na ufisadi kweli kweli, KULIKONI?
Ukinizingua Nitakuzingua!
Mbona boss wa Pssf hajatumbuliwa?Chadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe.
Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza.
Yaani kote TPA, TRA, TASAC, NSSF, PSSSF, Tamisemi BoT Hazina ni vurugu tupu watu wanakwiba tu.
Ndio najiuliza hawa Chadema waliodai wao ni wazalendo na wanapambana na ufisadi kweli kweli, KULIKONI?
Ukinizingua Nitakuzingua!
Mwamkinga mzee wa data ni hatari sana.Tatizo ni urasimu na mfumo, kwa maana nyingine hata Hayati pia alikuwa akipigana na matatizo hayohayo ya ufisadi tukiamini ameyamaliza lakini bado.
Wazee wa Tasac wa bodi wamekula bilioni 6 kwa vikao tuu. Wakiongozwa na Profesa Sata na mkinga akiwemo. Bodi wao wanawekewa vikao tuu lakiji wahusika nimkutoka huko Tasac management haswa Finance.
Nimependa hii "fasihi" yako.Chadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe.
Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza.
Yaani kote TPA, TRA, TASAC, NSSF, PSSSF, Tamisemi BoT Hazina ni vurugu tupu watu wanakwiba tu.
Ndio najiuliza hawa Chadema waliodai wao ni wazalendo na wanapambana na ufisadi kweli kweli, KULIKONI?
Ukinizingua Nitakuzingua!
Kwani BoT ya escrow gavana alikuwa Kafulila aka Tumbiri?Umelalia wapi? hayo mashirika yanaongozwa na Chadema?
Great Thinkers washakuelewa bwashee Ngugi wa Thiong'oChadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe.
Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza.
Yaani kote TPA, TRA, TASAC, NSSF, PSSSF, Tamisemi BoT Hazina ni vurugu tupu watu wanakwiba tu.
Ndio najiuliza hawa Chadema waliodai wao ni wazalendo na wanapambana na ufisadi kweli kweli, KULIKONI?
Ukinizingua Nitakuzingua!
Jela inamsubiri!Mbona boss wa Pssf hajatumbuliwa?
Wanafuatilia utekelezaji wa ahadi kwenye kitabu chenye kurasa 315Sasa wanafanya kazi gani?
Mzee njaa kali pesa kibao baada yajiudhuru zile znafasi kuwatimua woteRenatus Mkinga ana njaa sana yule mzee!
Hao akina Renatus Mkinga wa TASAC ndio " Wazawa" wa CCM!Sio kwamba Hapo kwenye CHADEMA ungeweka CCM
Kigongo busisi!Wanafuatilia utekelezaji wa ahadi kwenye kitabu chenye kurasa 315