TPA madudu matupu, PSSSF imefilisika, NSSF haina fedha, TASAC ubadhirifu mtupu sasa hawa CHADEMA wanapigana na Ufisadi gani?

Chadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe.

Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza.

Yaani kote TPA, TRA, TASAC, NSSF, PSSSF, Tamisemi BoT Hazina ni vurugu tupu watu wanakwiba tu.

Ndio najiuliza hawa Chadema waliodai wao ni wazalendo na wanapambana na ufisadi kweli kweli, KULIKONI?

Ukinizingua Nitakuzingua!
Shujaa wa africa
 
Hiko chama kishajifia mkuu, unawaonea bure.
 
Mtu wa ajabu sana.CHADEMA ndiyo wamefilisi mifuko.Ingekuwa thread mzuri usingetia mawazo dhaifu ya ukada.
Chadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe.

Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza.

Yaani kote TPA, TRA, TASAC, NSSF, PSSSF, Tamisemi BoT Hazina ni vurugu tupu watu wanakwiba tu.

Ndio najiuliza hawa Chadema waliodai wao ni wazalendo na wanapambana na ufisadi kweli kweli, KULIKONI?

Ukinizingua Nitakuzingua!
 
Chadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe.

Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza.

Yaani kote TPA, TRA, TASAC, NSSF, PSSSF, Tamisemi BoT Hazina ni vurugu tupu watu wanakwiba tu.

Ndio najiuliza hawa Chadema waliodai wao ni wazalendo na wanapambana na ufisadi kweli kweli, KULIKONI?

Ukinizingua Nitakuzingua!
Mbona boss wa Pssf hajatumbuliwa?
 
Mods futeni huu uzi au uunganisheni na ule uzi wa Hotuba ya Rais ya kuapisha Makatibu Wakuu.

Punguzeni threads za kipuuzi hapa JF maana tunashusha heshima ya Jukwaa.

@Invinsible
 
Tatizo ni urasimu na mfumo, kwa maana nyingine hata Hayati pia alikuwa akipigana na matatizo hayohayo ya ufisadi tukiamini ameyamaliza lakini bado.

Wazee wa Tasac wa bodi wamekula bilioni 6 kwa vikao tuu. Wakiongozwa na Profesa Sata na mkinga akiwemo. Bodi wao wanawekewa vikao tuu lakiji wahusika nimkutoka huko Tasac management haswa Finance.
Mwamkinga mzee wa data ni hatari sana.
 
Muulize mwendazake alijinasibu anapambana na rushwa anafungia vyombo vinavyoandika Wala rushwa,alificha hasara ATCL.
Rushwa,unyonge,umaskini vimezalishwa na CCM mwenda zake ni sehemu ya yote haya.
Wateule wa CCM ndio wanaongoza mikataba ya kifisadi.
 
Chadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe.

Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza.

Yaani kote TPA, TRA, TASAC, NSSF, PSSSF, Tamisemi BoT Hazina ni vurugu tupu watu wanakwiba tu.

Ndio najiuliza hawa Chadema waliodai wao ni wazalendo na wanapambana na ufisadi kweli kweli, KULIKONI?

Ukinizingua Nitakuzingua!
Nimependa hii "fasihi" yako.

Ila wale wafuasi wa "yesu" wa Tz wamekuelewa? Btw, hivi Kangi Lugola yupo wapi?
 
Chadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe.

Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza.

Yaani kote TPA, TRA, TASAC, NSSF, PSSSF, Tamisemi BoT Hazina ni vurugu tupu watu wanakwiba tu.

Ndio najiuliza hawa Chadema waliodai wao ni wazalendo na wanapambana na ufisadi kweli kweli, KULIKONI?

Ukinizingua Nitakuzingua!
Great Thinkers washakuelewa bwashee Ngugi wa Thiong'o
 
Back
Top Bottom