Usipanic buana nakutania
Member
- Mar 12, 2021
- 95
- 109
Kwani madarakani kilikuwepo Chama gani mkuu??Chadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe.
Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza.
Yaani kote TPA, TRA, TASAC, NSSF, PSSSF, Tamisemi BoT Hazina ni vurugu tupu watu wanakwiba tu.
Ndio najiuliza hawa Chadema waliodai wao ni wazalendo na wanapambana na ufisadi kweli kweli, KULIKONI?
Ukinizingua Nitakuzingua!
Msamehe tu hajanywa chai asubuhiBwashee vipi dishi limeyumba wakati hata mwezi mama hajamaliza?
Hizo lawama ni za mwenda zake na serikali yake ya CCM hapo CHADEMA unawaingiza vipi bwashee? CHADEMA kama wapinzani kazi yao ni kufichua mautopolo ya chama tawala na serikali yake. Hawana mamlaka ya kupambana na mafisadi bwashee.
Bwashee tukuwahishe India au Nairobi?
Hawa akina Silinde na Cecil Mwambe walifanywa nini bungeni?Meza dawa zako uachane na kuandika upumbavu Bwashee hata yaliyowakuta Wabunge wa Chadema bungeni kuanzia 2015 dishi limeyumba halikumbuki kitu 😂😂😂😂😂😂😂
Usiwe lipumbavu wewe,aliyekuwa anawateua majangili na wezi ni Chadema?Chadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe.
Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza.
Yaani kote TPA, TRA, TASAC, NSSF, PSSSF, Tamisemi BoT Hazina ni vurugu tupu watu wanakwiba tu.
Ndio najiuliza hawa Chadema waliodai wao ni wazalendo na wanapambana na ufisadi kweli kweli, KULIKONI?
Ukinizingua Nitakuzingua!
CCM!Kwani madarakani kilikuwepo Chama gani mkuu??
Nauliza tu
Hawa akina Silinde na Cecil Mwambe walifanywa nini bungeni?
Hahahaaaa....... Umenikumbusha Dr Slaa!Usiwe lipumbavu wewe,aliyekuwa anawateua majangili na wezi ni Chadema?
Yule Mungu wenu ndio alishikilia kila kitu, alituzuga kwa kufoka na vitisho kumbe wanakula keki ya Taifa na genge lake.
Tumia akili acha kutumia masabuli
Chadema walifungwa mdomo Siku nyingi. Nani angewasikia au kuwasikiliza?Chadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe.
Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza.
Yaani kote TPA, TRA, TASAC, NSSF, PSSSF, Tamisemi BoT Hazina ni vurugu tupu watu wanakwiba tu.
Ndio najiuliza hawa Chadema waliodai wao ni wazalendo na wanapambana na ufisadi kweli kweli, KULIKONI?
Ukinizingua Nitakuzingua!
Ndugai ndio unamuogopa?!!
Huyu jamaa soon ataokota makopo.Wameiba kina nani hadi lawama uzielekeze Chadema.
Walikuwa wanasikilizwaMara ya mwisho Chadema kuibua ufisadi ni wakati wa JK, why?!!
Jitahidi kutoka taarifa sahii kaka,taarifa zilizopo ni 600 millions karibu billion mojaTatizo ni urasimu na mfumo, kwa maana nyingine hata Hayati pia alikuwa akipigana na matatizo hayohayo ya ufisadi tukiamini ameyamaliza lakini bado.
Wazee wa Tasac wa bodi wamekula bilioni 6 kwa vikao tuu. Wakiongozwa na Profesa Sata na mkinga akiwemo. Bodi wao wanawekewa vikao tuu lakiji wahusika nimkutoka huko Tasac management haswa Finance.
KwakweliSarcasm.
Mkuu si ulisema Jiwe aliwaua wapinzani wote? Mara hii umeshalisahau hil[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Sasa wanafanya kazi gani?
Mitano tenaChadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe.
Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza.
Yaani kote TPA, TRA, TASAC, NSSF, PSSSF, Tamisemi BoT Hazina ni vurugu tupu watu wanakwiba tu.
Ndio najiuliza hawa Chadema waliodai wao ni wazalendo na wanapambana na ufisadi kweli kweli, KULIKONI?
Ukinizingua Nitakuzingua!
Sasa inakuwaje lawama upeleke kwa mpinzani ambaye aliminywa kila sehemu asiongee chochoteCCM!
Huu ni uandishi nguli
Asante mkuu