TPA madudu matupu, PSSSF imefilisika, NSSF haina fedha, TASAC ubadhirifu mtupu sasa hawa CHADEMA wanapigana na Ufisadi gani?

Chadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe.

Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza.

Yaani kote TPA, TRA, TASAC, NSSF, PSSSF, Tamisemi BoT Hazina ni vurugu tupu watu wanakwiba tu.

Ndio najiuliza hawa Chadema waliodai wao ni wazalendo na wanapambana na ufisadi kweli kweli, KULIKONI?

Ukinizingua Nitakuzingua!
Kwani madarakani kilikuwepo Chama gani mkuu??
Nauliza tu
 
Bwashee vipi dishi limeyumba wakati hata mwezi mama hajamaliza?

Hizo lawama ni za mwenda zake na serikali yake ya CCM hapo CHADEMA unawaingiza vipi bwashee? CHADEMA kama wapinzani kazi yao ni kufichua mautopolo ya chama tawala na serikali yake. Hawana mamlaka ya kupambana na mafisadi bwashee.

Bwashee tukuwahishe India au Nairobi?
Msamehe tu hajanywa chai asubuhi
 
Meza dawa zako uachane na kuandika upumbavu Bwashee hata yaliyowakuta Wabunge wa Chadema bungeni kuanzia 2015 dishi limeyumba halikumbuki kitu 😂😂😂😂😂😂😂
Hawa akina Silinde na Cecil Mwambe walifanywa nini bungeni?
 
Chadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe.

Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza.

Yaani kote TPA, TRA, TASAC, NSSF, PSSSF, Tamisemi BoT Hazina ni vurugu tupu watu wanakwiba tu.

Ndio najiuliza hawa Chadema waliodai wao ni wazalendo na wanapambana na ufisadi kweli kweli, KULIKONI?

Ukinizingua Nitakuzingua!
Usiwe lipumbavu wewe,aliyekuwa anawateua majangili na wezi ni Chadema?
Yule Mungu wenu ndio alishikilia kila kitu, alituzuga kwa kufoka na vitisho kumbe wanakula keki ya Taifa na genge lake.
Tumia akili acha kutumia masabuli
 
😂😂😂😂😂😂😂😂 Kamuulize Ndugai

1617794832506.jpeg

Hawa akina Silinde na Cecil Mwambe walifanywa nini bungeni?
 
Usiwe lipumbavu wewe,aliyekuwa anawateua majangili na wezi ni Chadema?
Yule Mungu wenu ndio alishikilia kila kitu, alituzuga kwa kufoka na vitisho kumbe wanakula keki ya Taifa na genge lake.
Tumia akili acha kutumia masabuli
Hahahaaaa....... Umenikumbusha Dr Slaa!
 
Chadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe.

Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza.

Yaani kote TPA, TRA, TASAC, NSSF, PSSSF, Tamisemi BoT Hazina ni vurugu tupu watu wanakwiba tu.

Ndio najiuliza hawa Chadema waliodai wao ni wazalendo na wanapambana na ufisadi kweli kweli, KULIKONI?

Ukinizingua Nitakuzingua!
Chadema walifungwa mdomo Siku nyingi. Nani angewasikia au kuwasikiliza?
 
Tatizo ni urasimu na mfumo, kwa maana nyingine hata Hayati pia alikuwa akipigana na matatizo hayohayo ya ufisadi tukiamini ameyamaliza lakini bado.

Wazee wa Tasac wa bodi wamekula bilioni 6 kwa vikao tuu. Wakiongozwa na Profesa Sata na mkinga akiwemo. Bodi wao wanawekewa vikao tuu lakiji wahusika nimkutoka huko Tasac management haswa Finance.
Jitahidi kutoka taarifa sahii kaka,taarifa zilizopo ni 600 millions karibu billion moja
 
Sasa wanafanya kazi gani?
Mkuu si ulisema Jiwe aliwaua wapinzani wote? Mara hii umeshalisahau hil[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Kweli wewe ni taga na nusu lakini unayejielewa, mtu akiingia kichwa kichwa huwezi kujua nini unamaanisha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Chadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe.

Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza.

Yaani kote TPA, TRA, TASAC, NSSF, PSSSF, Tamisemi BoT Hazina ni vurugu tupu watu wanakwiba tu.

Ndio najiuliza hawa Chadema waliodai wao ni wazalendo na wanapambana na ufisadi kweli kweli, KULIKONI?

Ukinizingua Nitakuzingua!
Mitano tena

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Bwashee umeamua kutumia tafsida na mafumbo ambayo fika pale Lumumba hakuna anayeweza kuelewa😀😀

Btw, muhimu Kuwa na Taasisi Imara amabazo hata kama viongozi wanabarika ufanisi na ufisadi hautakwepo kama sio kupungua kabisa.

Muhimu alichoweza kukifanya kwa weledi mwendazake ni eneo la Propaganda pamoja na kuua taasisi muhimu kama CAG na Bunge🙌
 
Back
Top Bottom