Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Bwanku M BWanku..Kijana mwenye shahada kutoka chuo kikuu cha UDOM.Hakika huu mwaka upewe teuzi tu,usikate tamaa
Sababu ni zipi za kustahili teuzi! Ndo anachopambania?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwanku M BWanku..Kijana mwenye shahada kutoka chuo kikuu cha UDOM.Hakika huu mwaka upewe teuzi tu,usikate tamaa
Akili zako zinafanana na Magu. Tumshukuru Mungu alituondolea ile nuksi. Unasema matajiri walikuwa wanadhurumu, hiyo serikali mbona ilishindwa kuwalipa? Kodi unazoongelea ndio hizo za trillioni 270 za Prof Ossoro? Professiorial RubbishNimekwambia acha mìpadho na ngonjera zisizo na vina wala vituo!
Frustrations za wakwepa kodi kisa wawekezaji?
Matajiri kuwadhulumu wakulima kisa hawana mtetezi?
Wewe unaongelea korosho! Mazao yote yaliyoleta neema kwa wakulima wetu yalishaharibiwa na watangulizi wake na kuzika kabisa thamani ya mazao hayo!
Kukarabati bandari zetu kulikuwa na fursa nyingi nchini hapa!!
Wewe ulitaka zifanane na za nani? Unaiita nuksi lakini Mungu alimleta makusudi ili nyie vibaka na wanyonyaji mumwone nuksi!, hata siku moja wizi wako uliofanya na unaendelea kufanya hauna mwisho!Akili zako zinafanana na Magu. Tumshukuru Mungu alituondolea ile nuksi. Unasema matajiri walikuwa wanadhurumu, hiyo serikali mbona ilishindwa kuwalipa? Kodi unazoongelea ndio hizo za trillioni 270 za Prof Ossoro? Professiorial Rubbish
Alikuwa Nuksi, ndio maana mambo yake mengi yametupwa kule.Wewe ulitaka zifanane na za nani? Unaiita nuksi lakini Mungu alimleta makusudi ili nyie vibaka na wanyonyaji mumwone nuksi!, hata siku moja wizi wako uliofanya na unaendelea kufanya hauna mwisho!
Jaribu kuwa na akili unaposema mambo ya kifedha! Trillion 270 unazijua wewe?
Osoro unamjua?
Acha kukarilili rafiki na uache tabia za mipasho!
My friend.... How did you find yourself here...!!? Hukupata kijiwe ambacho ungeeleweka vizuri ....!!?selekali ya rais Samia ina akili sana na inajua kufanya kazi na kuendesha nchi..hii kubwa sana sana hii. Heko mama samia
Cha ajabu nini hapo? Walizoea kujizolea madini bure nchi hii, wamepigiwa hesabu kwa madini yaliyotoroshwa unaita nuksi!Alikuwa Nuksi, ndio maana mambo yake mengi yametupwa kule.
TRA inakusanya Tril 24 kwa mwaka halafu unataka kusema Barrick inadaiwa Tril 270... ni kichaa hicho.
If that won't attract lower rates to consumers; then that is a moronic moveIt creates trust between the private sector and the public sector which will in turn stimulate the economy positively,,,,,,,
let the private sector be confident, get stronger, invest more, generate more jobs and income to create a favourable tax base for the government machinery and low cost of the final products for the final consumers
Positive move....
Vipi bei ya sementia uimeshuka?haya ndo maendeleo Watanzania wanayataka
Yaani wewe ni mjinga wa hali ya juu sanaAlikuwa Nuksi, ndio maana mambo yake mengi yametupwa kule.
TRA inakusanya Tril 24 kwa mwaka halafu unataka kusema Barrick inadaiwa Tril 270... ni kichaa hicho.
Na unacho andika hakieleweki! Msaada wa mama kufungulia vyeti fake!Kwa watu kama wewe, tuna safari ndefu sana ya kwenda, maana hata unachokisoma hukielewi.
Ikiwa nafsi yako hujielewi sitegemei kama utaweza nielewa ninachoandika. Sikushangai, mpo wengi.Na unacho andika hakieleweki! Msaada wa mama kufungulia vyeti fake!
Akili zako zinafanana na Magu. Tumshukuru Mungu alituondolea ile nuksi. Unasema matajiri walikuwa wanadhurumu, hiyo serikali mbona ilishindwa kuwalipa? Kodi unazoongelea ndio hizo za trillioni 270 za Prof Ossoro? Professiorial Rubbish
Umeona sasa??!!, sisi tupo wengi nyie ni kakundi kadogo tu kanyonyaji na katapeli!!Ikiwa nafsi yako hujielewi sitegemei kama utaweza nielewa ninachoandika. Sikushangai, mpo wengi.
Kila siku tunajenga na hela zetu wakati hakuna uwezo! Hiyo miradi unayoongelea ndio inadhihirisha upungufu wake wa maarifa. Aliambiwa miradi mikubwa inaendeshwa kwa mikopo, akawa mbishi. Tutatumia pesa zetu. Dar Kibaha Highway tuliambiwa 2019 inaisha, amekufa bado! SGR Dar Moro tuliambiwa 2019 itaanza kazi, amekufa bado! Bwawa la Nyerere tuliambiwa 2022 tutapata umeme, amekufa ameaacha chini ya 40pc. BRT Mbagala ameiacha hata haileweki. Miradi yote hii ni ya "fedha zetu", nonsense kabisa.Cha ajabu nini hapo? Walizoea kujizolea madini bure nchi hii, wamepigiwa hesabu kwa madini yaliyotoroshwa unaita nuksi!
Aliyetuma mambo yake ndo kichaa maana tulizoea miradi mikubwa ikienda kwa kasi, umeme sasa unakatika katika kila siku huku madukani kwa wahindi kumepangwa majenereta!
Tanzanite bridge nayo imetupwa huko.
Train la umeme nalo tupo huko, halafu eti una akili!
Sasa ndio umeandika nini?Yaani wewe ni mjinga wa hali ya juu sana
Hata nikipewa nafasi ya kuishi milele sitaki.je wewe utabaki milele?
Mtwara corridor ilikuwa na lengo la kuipa nguvu bandari ya mtwara ,na ilikuwa ni project ya Mkapa.Kwa hiyo Magufuri aliyeangaika na kufufua hizo badandari anawekwa upande gani?
Inawezekana bado unaishi kwa mjomba! Ndo maana una akili za kitegemezi! Yeye alikataa utegemezi, Magufuli kaitumikia nchi hii bado haina network ya barabara za lami, kapambana wizara ya ujenzi tangu miaka yote mpaka anakufa nchi imeunganishwa na lami,Kila siku tunajenga na hela zetu wakati hakuna uwezo! Hiyo miradi unayoongelea ndio inadhihirisha upungufu wake wa maarifa. Aliambiwa miradi mikubwa inaendeshwa kwa mikopo, akawa mbishi. Tutatumia pesa zetu. Dar Kibaha Highway tuliambiwa 2019 inaisha, amekufa bado! SGR Dar Moro tuliambiwa 2019 itaanza kazi, amekufa bado! Bwawa la Nyerere tuliambiwa 2022 tutapata umeme, amekufa ameaacha chini ya 40pc. BRT Mbagala ameiacha hata haileweki. Miradi yote hii ni ya "fedha zetu", nonsense kabisa.
Miradi iliyofanikiwa ni ya mikopo, Tanzanite Bridge na Ubungo interchange ni pesa za mkopo. Hata SGR Isaka Mwanza ni mkopo aliyoikataa mwanzo. Hata hizi SGR za Dar Dodoma alianza kukopa baada ya pumzi kukata, tena mikopo ya kibiashara! Nonsense kabisa.
Hakuwa na maarifa, yeye alidhani uongozi ni ubabe.
Kwa hiyo Mkapa alikuwa bado yupo?Mtwara corridor ilikuwa na lengo la kuipa nguvu bandari ya mtwara ,na ilikuwa ni project ya Mkapa.
Magu alitaka kila kitu aonekane kafanya yeye..