Kuishi kwa mjomba sio tatizo

Hakuna sehemu nimesema miradi ilikuwa haina maana. Shida ni namna alivyotaka kuifanya. Hakuna na maarifa ya kuangalia mahitaji vs uwezo. Huwezi kuamua tu mimi sitaki mkopo wakati uwezo wako wa kufanya mambo haupo. Hizo barabara unazozisema alijenga wakati wa Kikwete kwa mikopo.
 
Ni tatizo kuishi kwa mjomba! Akili bado ni tegemezi, akili yako isingekuwa tegemezi usingebeza miradi ya Magu,
Bwawa la Mwalimu Nyerere limebakia kujaza maji tu umeme uwake! Bado unafikiria pesa za mkopo?
SGR Dar Moro Mpaka upate pesa ya mkopo ndo ununue li engine zee kwa pesa za mkopo nafuu?
Ukoloni hautakuisha kichwani mwako! Kaa kwa mjomba wako!
 
Wewe na yule marehemu wote hamna maarifa. Mungu ametuepusha na janga kubwa sana, tulikuwa tunaelekea shimoni.
 
Kwa kuwa aliwanyang'anya tonge mdomoni!, sasa anaandaliwa Magu mkali mara kumi!
Mtazicheua hizo hela zenu za wizi,
Tafuta hela utapunguza chuki.... Hao unawaita waizi wamekuwa na hela before Magu na sasa Magu kaondoka bado wanazo.
 
Walikuja na mkwara mkuubwa eti saruji itakuwa nyingi na itashuka bei wapi wala mtaani haipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…