Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Yote yanaenda kigoma .wametuonea huruma perhaps
Duh Sugu aka Jongwe kama Nabii vile alichosemaHii issue aliizungumza sugu bungeni, ila ndo hivyo tena akaonekana mvuta bangi
[emoji3] [emoji3]teh teh "hakuna baunsa wa njaa"
It can't beit. can never b
Mkuu story za Mungu na Shetan ni zakusadikika ukiwatambua utakuwa huru Watajwe tu sababu hawapo ni hadithi zao tu kuwa wapo ila ukifuatilia story utawaona ni wamoja na ni wapinzani na ndani ya Story huyo Mungu anayependa watu katupa shetani Duniani aishi na Binadamu its means Binadamu wenyewe hatupendwi na Mungu so ni uongo tu... Mungu hatupendi na Shetani anatupenda...mkuu ashukuriwe shweitwani? au
WHEN ONE CHOOSES TO WRITE IN CAPITAL LETTERS PUT ALOT OF ATTENTION ON ANY ISSUE! IT DOESNT MEAN IF EITHER I WOULD HAVE WRITTEN IT IN SMALL LETTER OR CAPITAL,STILL MY MSG HAS BEEN DELIVERED AND UNDERSTOOD! I KNOW TRUTH IS A BITTER TASTE FOR MANY TANZANIAN TO SWALOW! JUST SNAP AND EMBRACE THE REALITY! A NEW ERA IN TZS UNDER A NEW RULLER!Jifunze kuandika ndo maana tukawa na capital and small letters, zina matumizi tofauti!
hata mimi sielewiHii ni kwa mujibu wa taarifa ya habari ya ITV,wabunge wanahoji TRA wanapata wapi mapato!!
Haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] haha apa kazi tuuuBora mizigo ipungue lakini kodi ipatikane kuliko kuwa na bandari iloyo jaa mizigo halafu serikali haipati kitu. Mizigo imepungua kwasababu hakuna kucheza dili tena. Wizi wote watafute njia nyingine.