TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini


Too much know hilo
 
Naona wamejikita moja kwa moja kwa washauri wa mh kuhusu masuala ya kodi
Nadhani panatakiwa kuitishwa mjadala wa wazi wa wataalamu wa masuala ya kodi na biashara ili kujadili hali hii ambayo kama ikiachwa italigharimu taifa.
Acha uchochezi....mawazo kama haya hayatakiwi awamu hii....nyimbo za mapambio na kusifu ndo znatakiwa....
 
Nimeangalia taarifa ya habari wakionyesha makontena, hali inasikitisha, na hawatakiwi kusema imepungua waseme mizigo haishushwi kabisa, yaani bandari ni kavu kabisa
 
Halafu mbona hela hazionekani??? Kwa nini hamzungushi hela? Zungusha ....zungusha.....zungusha....na mifukoni kwetu baba uzungushe...zungusha...zungusha. Ehhh yule gospel singer atanikaba wimbo wake
 
Mmmmmmmh napita tu nsije itwa mchochezi bure[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
 
Tukisema ooh wachochezi, Mara ohh mlizoea vya wizi ndo maana hampitishi mizigo! Sasa hata wazambia wa copper nao wezi! Najua mtarud kwenye mstari tuu, mshaanza watu wanaficha hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…