TPA: Tutajenga Uwanja Mkubwa wa Kisasa wa Mpira wa Michezo hapa Kizimkazi

Yaleyale ya Chato yanajirudia,Halafu jeshi letu lipo bize kutafuta Leso zenye mabaka mtaani ili wakae nazo wao.

Acha wivu mkuu uwanja ni kwa ajili ya wananchi sio siasa tunataka tufike mbali kimichezo alaf kiwanja kinajengwa hutaki aya sema kiwe wapi ndio uone atujachezea ela
 

Mkuu wa tz tunasifa ya kueneza uwongo kuliko ukweli mpk masuala ya maendeleo tunapinga inaonyesha ujinga wetu kichwani
 
Tuweni na upendo na tusiwe kama wanasiasa.kazi ya upinzani kwa tz ni kupinga pinga hadi sisi wananchi tumekua wapinzani wa serikali kweli
Xx kuna ubaya gani kikijengwa? Toeni hoja yenye mashiko tuone ubaya wake vinginevo ni wivu wa kijinga mnooo
Na tunaonyesha roho zetu zilivo
 
Mbona mlisema TPA haipati faida kwa sababu ya wezi wanaofanya kazi humo mpaka mkaamua kumpa bandari DPW. Sasa nauliza hivi: Hizo fedha za kujenga uwanja zinatoka wapi? Mtuambie pia kama hao wezi wameshazirudisha.
 
Mbona mlisema TPA haipati faida kwa sababu ya wezi wanaofanya kazi humo mpaka mkaamua kumpa bandari DPW. Sasa nauliza hivi: Hizo fedha za kujenga uwanja zinatoka wapi? Mtuambie pia kama hao wezi wameshazirudisha.
Una hoja
 
Sijui viongozi wetu wana shida gani kutwa kujipendekeza.
Sijui hakuna wa kuwakemea, Raisi nae anawatazama tu aisee.
 
Kuna vitu vingine ni vya kijinga sana .....
 
Acha umalaya dada angu
 
Naamini hata aliesema haya alikua na mihemko tu,
 
CCM ni laana katika hii Nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…