TPDC mnakwamisha Mradi wa Gesi Asilia (CNG) kwa kumkomoa Rais Samia

Serikali Kupitia Rais imepambana sana kuhakikisha miradi mikubwa inafunguka kwa ajili ya kunufaisha Watanzania wote.

kwanini Mataragio na Genge lako hapo TPDC mnakwamisha mradi wa Gesi asilia? Mnazuia vibali vya makampuni kufungua vituo vya kujaza Gesi kwenye magari kwa maelekezo ya nani? Hata hao wenye sheli walishaomba vibali ili nao wawe na pampu za Gesi asili bado mmewanyima wakati sisi tulijua labda wao ndio wanawapeni rushwa mgomee vibali?

Je, tukisema unamkwamisha Rais katika kuleta maendeleo itakuwa uongo? Nchi nzima vituo vya kujaza Gesi kwenye magari vipo VIWILI tu kweli jamani miaka 60 ya Uhuru ndio aibu hizi?

Serikali ikatoa hela ikaleta mitungi ya Gesi kwa ajili ya magari mkajipendelea mkawekea wafanyakazi wenu tu hapo TPDC halafu wooooote wamekuja kujazana kwenye kituo cha ubungo kujaza gesi wakati mnajua hapana uwezo kuhudumia magari mengi?

Kama hamtaki kutoa vibali kwa nini mlifungia gesi magari ya staff wenu? kwanini msifungue kituo chenu hapo mikocheni mpate raha huko huko pamoja na mamishahara na marupurupu na mafuta ya petrol kibao mnayojipatiaga mnaona mje kujazana na walala hoi hapo ubungo!

Tukisema Mataragio umechoka akili au unafanya kazi kwa mazoea tutakuwa tumekosea?

Rais atuondolee aibu hii aibu hii ya kukaa foleni vituon kujaza gesi masaa!

Fukuza Mkurugenzi TPDC, huyo ashavimbiwa maisha.

TPDC ndio wanatoa kibali cha ujenzi wa sheli hapa TZ?

Uko dunia gani ww? If you don't know ask..

Waulize EWURA... Hao ndio wanamrudisha Mama Samia nyuma, tena sana kabisa, Mh. Rais piga chini Mkurugenzi wa EWURA

1: Vituo vya mafuta hadi katika nyumba za watu na barabara mpya ya Ubungo-Kimara- Kibaha yaani Morogoro Road, kaangalie sheli zilizojengwa ktk hifadhi ya barabara mpya, ni rushwa tupu sbb ya EWURA

2: EWURA hawatoi vibali vya ujenzi wa vituo vya gesi nchini, piga chini haraka huyo mkurugenzi etc

EWURA ni mzigo kwa serikali sana
 
Harakati zihamie ewura sasa

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
About​

Strong qualifications including a CPA and MBA from the University of Warwick - Warwick Business School.

Experienced Independent Consultant with a demonstrated history of working in the oil & energy industry, FMCG and professional services (Audit, Accounting and Tax).

Skilled in Financial Accounting and reporting, Analytical Skills, Governmental Affairs, Government Liaison, and Cross-functional Team Leadership.

Aspiring investor, consultant and business developer in Agribusiness focusing on growing Avocados, Sisal, Dairy, Agri-processing and Marketing of agricultural products.

………………………..

Huko duniani sasa hivi watu wa maana watakuwa wameanza kuipitia hiyo linkedin personal profile ya jamaa.

TPDC ni shirika kubwa sana

Na hiyo profile choice of words used ni kama vile imeandikwa na mtu ambae hajui kuandika CV, inatakiwa haraka sana watu wakai-brush hiyo profile.
 
Serikali Kupitia Rais imepambana sana kuhakikisha miradi mikubwa inafunguka kwa ajili ya kunufaisha Watanzania wote.

kwanini Mataragio na Genge lako hapo TPDC mnakwamisha mradi wa Gesi asilia? Mnazuia vibali vya makampuni kufungua vituo vya kujaza Gesi kwenye magari kwa maelekezo ya nani? Hata hao wenye sheli walishaomba vibali ili nao wawe na pampu za Gesi asili bado mmewanyima wakati sisi tulijua labda wao ndio wanawapeni rushwa mgomee vibali?

Je, tukisema unamkwamisha Rais katika kuleta maendeleo itakuwa uongo? Nchi nzima vituo vya kujaza Gesi kwenye magari vipo VIWILI tu kweli jamani miaka 60 ya Uhuru ndio aibu hizi?

Serikali ikatoa hela ikaleta mitungi ya Gesi kwa ajili ya magari mkajipendelea mkawekea wafanyakazi wenu tu hapo TPDC halafu wooooote wamekuja kujazana kwenye kituo cha ubungo kujaza gesi wakati mnajua hapana uwezo kuhudumia magari mengi?

Kama hamtaki kutoa vibali kwa nini mlifungia gesi magari ya staff wenu? kwanini msifungue kituo chenu hapo mikocheni mpate raha huko huko pamoja na mamishahara na marupurupu na mafuta ya petrol kibao mnayojipatiaga mnaona mje kujazana na walala hoi hapo ubungo!

Tukisema Mataragio umechoka akili au unafanya kazi kwa mazoea tutakuwa tumekosea?

Rais atuondolee aibu hii aibu hii ya kukaa foleni vituon kujaza gesi masaa!

Fukuza Mkurugenzi TPDC, huyo ashavimbiwa maisha.
Dah! Sijui kama umefanya utafiti kabla ya kulalamika hapa. TPDC ni mwekezaji mwenza tu katika miradi ya gesi asilia. Mtoa vibali ni mdhibiti wa huduma hizo ambao ni EWURA kwa mid and dowstreams na PURA kwa upstream.
 
TPDC ndio wanatoa kibali cha ujenzi wa sheli hapa TZ?

Uko dunia gani ww? If you don't know ask..

Waulize EWURA... Hao ndio wanamrudisha Mama Samia nyuma, tena sana kabisa, Mh. Rais piga chini Mkurugenzi wa EWURA

1: Vituo vya mafuta hadi katika nyumba za watu na barabara mpya ya Ubungo-Kimara- Kibaha yaani Morogoro Road, kaangalie sheli zilizojengwa ktk hifadhi ya barabara mpya, ni rushwa tupu sbb ya EWURA

2: EWURA hawatoi vibali vya ujenzi wa vituo vya gesi nchini, piga chini haraka huyo mkurugenzi etc

EWURA ni mzigo kwa serikali sana
Una ushahidi? Umetuma maombi?
 
Vtuo viwili tu! Gass ipo,watu zaidi ya milioni 60.piga chini tu.
 
Back
Top Bottom