TPDC yaingia mkataba na Kampuni ya Uingereza ya Baker Botts kwa ajili ya ushauri wa Kisheria

TPDC yaingia mkataba na Kampuni ya Uingereza ya Baker Botts kwa ajili ya ushauri wa Kisheria

Miaka yote hiyo tangu wafanye exploration na uchimbaji wa gesi kule mtwara hawakum engage consultant.............au ndo ile kila anayeingia anatafuta upenyo wa kupiga, aka. kujipimia kwa urefu wa kamba............


Na hiyo gas Ya kumlipa huyo consultant that billions of Money iko wapi kwanza na imeshatuingizia Faida shilingi ngapi kama Taifa
 
Hakuna mtu pale,tuvumilie tu maana unaweza kufa mapema bule ,ukifuatilia Mambo ya nchi hii!! hata hivyo wanakula kulingana na urefu wa kamba zao.hakuna namana
Eti kweli...

Kuwaambia viongozi mle lakini msivimbiwe! Ni sawa na kuruhusu watu watende dhambi ila wasizidishe.

Wakati wa Magufuli watu waliishafanikiwa kujenga hofu kubwa dhidi ya mali za umma, sasa fungulia mbwa.
 
Bado tunaye sana...

2030 anachukuwa fomu alafu Riz anakuwa mgombea mwenza, mzee wa Mtama anakuwa PM au Foreign Affairs.

Akipitishwa mwingine kugombea nfs ya mshika usukani basi atafundwa amchukuwe Riz kama mgombea mwenza ili mbele ya sfr mshika usukani anatengenezewa mazingira magumu yasiyovumilika serikalini na chamani ili ajiengue mwenyewe ili riz akaimu nfs kwa mujibu wa Katiba na hapo tayari ndoto zitakuwa zimetia kama za Karume Dynasty na Mwinyi Dynasty.

All in all nfs 3 za mshika usukani, PM na Foreign Affairs 2031... lazima zitacheza kwa hao wa3 tu.

Political Barometer (utabiri wa kisiasa siyo jinai)

Nani sasa this time?

Mtakuwa nchi ya aina gani hiyo duniani?

Hilo roho limeishatambikiwa limeenda one-off.

Hahahaaa.... mkuu, you have made my day.
Bado naisubiri kwa hamu sana hiyo Tanzania ya kuongozwa na Makamba🤣, na nitakuwa radhi kwenda kuishi Rwanda ila sio Tanzania ya kuongozwa na Makamba. ......................................................................................................................................................... 2030 Ruagwa ni lazima hao wengine watasindikiza tu.
 
Tender

View attachment 2096736

View attachment 2096737

20220126_235607.jpg

View attachment 2096853
 
Mwache mwenzio afanye kazi, aliyemteua ndio anajua umuhimu wake, majungu hayasaidii, leo Makamba angetangaza kupanda bei za mita bila kumsikia mama aliagiza, ingekuwa balaa kwake, mnamfanya mtu asijiamini!
Kazi gani anayoifanya ndugu zaidi ya kutumia muda wake kuunyesha umma wa Tanzania that he is there, Kazi ilisha mshinda. Wala sina majungu dhidi yake na nina muheshimu sana kwani yeye ni chaguo na pia nakukumbusha aliye muweka amemuweka kwaajili yetu wanyonge. 😀
 
Zitto alikuwa analalama kuwa 2015 tulikabidhi nchi kwa washamba, baada ya mshamba mkuu kufariki sasa wamekuja wajanja tuliokuwa tunawataka, ni mwendo wa mikataba tu na makampuni ya nje.
Unafikiri gesi ni mambo mepesi😄😂😂fikiria mara mbili.
 
Ile tume ya kudumu ya Kabudi imebuma? Usijekuta hawa jamaa walituingiza chaka hata kwenye makinikia
 
Unafikiri wajapan au wachina wakiwa katika negotiations na mabeberu wanajali hilo ng'eng'e, na sio lazima ujue ng'eng'e katika haya mambo unaweza kutumia mkalimani, kiingereza is overated na wanaoburuzwa na hiyo lugha ni maskini tuu wasiojiamini, manchi kama China au Russia wakija mezani ni kirusi au kichina tuu ni juu yako kutafuta mkalimani ili uwaelewe
Sasa kwa nini mashuleni tunatumia kiingereza?
 
Mtaalam wa negotiations aliyesomea na hata kwenye wasifu wake ipo ni Prof. Luoga Governor, tena ana mastery (ubobezi) ya sheria za kimataifa za fedha, biashara na mikataba. Kabudi ni mbobezi wa sheria za kawaida tu, ila ana ujasiri kuzidi simba dume kwenye kukabili mabeberu, alafu anaogopa kama ukoma senti tano ya serikali, sifa ambazo Watz wengi hawana. Kwenye usafi wa maadili namlinganisha Kabudi na Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa Tz Mhe. Lameck Mfalila.
Hongera kwa kumpamba mkufunzi wako.
 
Shamba la bibi limekabidhiwa rasmi kwa mbuzi waliokata kamba. Makamba junior and co.

Deals kila siku.
1643256175821.png
 
Back
Top Bottom