TPDC yaingia mkataba na Kampuni ya Uingereza ya Baker Botts kwa ajili ya ushauri wa Kisheria

Miaka yote hiyo tangu wafanye exploration na uchimbaji wa gesi kule mtwara hawakum engage consultant.............au ndo ile kila anayeingia anatafuta upenyo wa kupiga, aka. kujipimia kwa urefu wa kamba............


Na hiyo gas Ya kumlipa huyo consultant that billions of Money iko wapi kwanza na imeshatuingizia Faida shilingi ngapi kama Taifa
 
Hakuna mtu pale,tuvumilie tu maana unaweza kufa mapema bule ,ukifuatilia Mambo ya nchi hii!! hata hivyo wanakula kulingana na urefu wa kamba zao.hakuna namana
Eti kweli...

Kuwaambia viongozi mle lakini msivimbiwe! Ni sawa na kuruhusu watu watende dhambi ila wasizidishe.

Wakati wa Magufuli watu waliishafanikiwa kujenga hofu kubwa dhidi ya mali za umma, sasa fungulia mbwa.
 
Ni Jambo jema je gharama ya mkataba ni ipi ?
 
Nimemsikiliza boss wa TPDC leo alipokuwa live TBC 1 alitoa ufafanuzi mzuri.
 
Bado naisubiri kwa hamu sana hiyo Tanzania ya kuongozwa na Makamba🤣, na nitakuwa radhi kwenda kuishi Rwanda ila sio Tanzania ya kuongozwa na Makamba. ......................................................................................................................................................... 2030 Ruagwa ni lazima hao wengine watasindikiza tu.
 
Mwache mwenzio afanye kazi, aliyemteua ndio anajua umuhimu wake, majungu hayasaidii, leo Makamba angetangaza kupanda bei za mita bila kumsikia mama aliagiza, ingekuwa balaa kwake, mnamfanya mtu asijiamini!
Kazi gani anayoifanya ndugu zaidi ya kutumia muda wake kuunyesha umma wa Tanzania that he is there, Kazi ilisha mshinda. Wala sina majungu dhidi yake na nina muheshimu sana kwani yeye ni chaguo na pia nakukumbusha aliye muweka amemuweka kwaajili yetu wanyonge. 😀
 
Zitto alikuwa analalama kuwa 2015 tulikabidhi nchi kwa washamba, baada ya mshamba mkuu kufariki sasa wamekuja wajanja tuliokuwa tunawataka, ni mwendo wa mikataba tu na makampuni ya nje.
Unafikiri gesi ni mambo mepesi😄😂😂fikiria mara mbili.
 
Ile tume ya kudumu ya Kabudi imebuma? Usijekuta hawa jamaa walituingiza chaka hata kwenye makinikia
 
Sasa kwa nini mashuleni tunatumia kiingereza?
 
Hongera kwa kumpamba mkufunzi wako.
 
Shamba la bibi limekabidhiwa rasmi kwa mbuzi waliokata kamba. Makamba junior and co.

Deals kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…