TPL: kutoka uwanja wa Taifa Yanga SC vs Mwadui FC

Eti kumfunga yule mwarabu koko wamevimba kichwa eti Vita Club wanaenda kumpiga kwao Duuuh
HAWANIPI SHIDA, MBWEMBWE NYIIINGI, YAANI MECHI YA KWANZA WANAONA NDIO WAMEMALIZA MECHI ZOTE ZA KUNDI NA WAKATI BADO KUNA MLIMA MKUBWA WA KUPANDA
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mbona unawaogopa Sana Hawa wacheza bolingo?
Inamaana wewe huoni ubora wa Simba?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu Simba irudi kwenye ubora wake imecheza bigmatch mbili pekee....ile ya yanga na Simba alaf na nkana Kwahyo punguzeni kuongea bado bigmatch zinakuja huko...saoura sio bigmatch ....Mbabane sio bigmatch ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…